Mume wa mtu ananitesa

Leo hii una watoto nae wawili ndio umegundua mume hakutoshelezi? Umejuaje?

Unataka kuhalalisha tu uchepukaji wako kwa kutengeneza sababu isiyo na mashiko.

Be Humble is free of charge
 
Umejuaje kama ana dudu kubwa wakati hujawai kutiana nae na umedai picha mmetumiana za nusu?


Empty set

Be Humble is free of charge
 
Huyu binti ni MALAYA, aliolewa kwa bahati mbaya na jamaa. Ni vizuri tu akaomba talaka amuache jamaa aanze upya.
Kwa mentality aliyoiweka hawezi kufikishwa na mumewe, hata kama atakodisha Dushe la kimasai.
RAHA YA MAPENZI KWA MWANAMKE HUANZA NA UTAYARI WAKE.
Huyu dada hajawa tayari kuridhishwa na mumewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kakupa ndoa na wewe unataka kuichezea kuna mamilion ya wanawake wanatamani kuingia kwenye ndoa na Bado hawajabarikiwa tuliza akili wacha tamaa
 
Jaman nimeishi na Mume wangu miaka mitano cjawah chepuka wala kuhisi ntafanya hivyo.

Ila nahisi Nina pepo LA ngono, sio kwamba mume wangu anakibamia hapana yupo wastan Ila sasa shetan naona ananitesa maana nilikua nimesimama SNA, lakin sasa HV najiona ovyo ovyo kila dhambi naitamani, natamani kujaribu kunywa pombe, natamani kila aina ya dhambi.

Yaan nafunga na kuomba lakin nashindwa, nawaza cjui nichepuke labda ntapata raha zaidi kuliko anazonipa mume wangu nifanyaje jaman najiona sio mm kabisaaa.

Jamaa mwenyewe wa kawaida tu, hana pesa za kumzidi mume wangu ila basi tuu. Nisaidien jaman najikuta nampenda mpaka napoteza hamu ya mume wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole muone mtu yeyote unayemwamini au kiongozi wako wa kiroho akusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayejua kumridhisha mwanamke ni mwanaume sio mwanamke
Hapo ndiyo napataka sasa mrembo. Kwanini usinifundishe PM maana huku siko huru sana kuuliza maswali.
Unamridhishaje? Unamchekesha au maana mm sielewi hata mmoja.
 
Fanya unaloliona linakufaa na linakupa amani ya nafsi yako
 
Wewe huna pepo la ngono wala nini. Nijibu maswali yafuatayo nikupe ushauri
1. Uliolewa ukiwa na umri gani?
2. Wewe na mume wako mmepishana umri gani?
3. Kabla ya kuolewa, uliwahi kuishi na mwanaume kinyumba?
4. Mlidumu mda gani wewe na mumeo tangu kufahamiana mpaka kuoana?

Nijibu hayo maswali ntakuambia tatizo liko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…