The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,107
- 21,968
JF KibokoNimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
gari kali hujaona hapo,,, make kwanza nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyo akiona mbaba ananukia tu, kashampenda 😂 hafai
Nimefanyaje?Tutamchangia wote..ndugu yetu wa Ukwee🤣mwenye jina lake Yuniki🌷
Jana ulijua kunivunja mbavu🤣🤣🤣👋
Mwambie gari Kali halafu ananukia anamvutogari kali hujaona hapo,,, make kwanza nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ye ameona kunukia tu eti, wakati na gari kali analo 😊Nimefanyaje?
Mwambie gari Kali halafu ananukia anamvuto
tumepigwa hapo Unique Flowergari kali hujaona hapo,,, make kwanza nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yes, Niko poa mnajiona sana mnatudharau sasa hata chooni tu nikienda nasemaJF Kiboko
we mwanamke umeshindikana Unique Flower 😂Yes, Niko poa mnajiona sana mnatudharau sasa hata chooni tu nikienda nasema
Anakuwa kama huyu jitu lizima linajiita Unique FlowerHivi inawezekanaje mtu anaandika kiswahili alafu haeleweki kabisaa...
How!!??
Basi tusamehe 🤣🤣👋Yes, Niko poa mnajiona sana mnatudharau sasa hata chooni tu nikienda nasema
Ni mume wa mwanamke mwenzio,unamshauri apite nae?
Vipi maradhi je?
Hujui kukataa?Yeye wakati anamfata hakujua ana mke??
Wewe mutu burudani sana🤣Tulia na wa Jf mwaya usije kosa ndoa
Naomba maua yanguWewe mutu burudani sana🤣
Mwanangu nimeyatuma mengi boda atafika sasa hivi yaniNaomba maua yangu
Tulizana wewe binti.Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia.
Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema, akadai naomba uje, naomba unipe namba yako tafadhali, nikikwama nikutafute.
Nikampa ili asinione mbaya, basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamoja akadai wewe mama hiyo ndio namba yangu mpenzi, nikasema tena hii kali.
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi, akadai tokea unipe namba, mmh! Nikasema nimeposwa sitaki shari, akasema hata mimi nimeoa, basi nikamwambia subiri niolewe tuwe pair, akagoma. Akasema chasiri kizuri, nikagoma bwana, nampenda chotara sana.
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa JF, kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu JF, yupo na ni kweli.
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi siku hizi, hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi, hii nchi sio ya Marekani, ni yetu.