Ujinga aliishaufanya kwa kukubali kuwa mpenzi wa kudumu wa mume wa mtu huku akijidanganya kuwa kuna kijana ambaye hajaoa atajitokeza katikati ya mahusiano hayo na kumuoa.Usijaribu kufanya huo ujinga wanaume wengi hudaganya wanawake wazae, siku ukizaa hutamuona tena
Hahaha unajipigia debe.Ndugu mtanzania mwenzangu achana na mume wa mtu huyo akufai atakuzarisha kisha atakuacha kwenye mataa a upate tabu kulea watoto peke yako
mimi Mama ni mbena baba ni muhehe njoo PM tuyajenge ikiwezekana tufunge pingu za maisha
Jua unataka nn kwanza, wewe sio yeyeHabari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Kwa kuwa kwenu wamekuambia uolewe kwa proccess zote basi hili swali lako linawahusu.Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Duuh ivi utapataje wa kukuoa wakati bado upo kwenye mahusiano mengine ? Achana nae labda unaweza pata wa kukuoa , kingine kwa hiyo nyumbani ndio wanataka uolewe wewe hutaki au inakuwajeHabari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Kama kweli huu ndo umri wake basi azae tuNatafuta mume Mbena au Muhehe
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaumewww.jamiiforums.com
wanafunzi wa vyuo mnatuchosha, sasa wewe kama unataka kuolewa kwa nini unatembea na mume wa mtu??Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
kwani jamaa hana watoto huko kwa mke wake? kama hana mzawadie na kama hutaki kumzalia basi kila mtu achukue time yake isiwe unataka akutunze ila wewe kumzalia hutaki hiyo mbaya itafika muda mtadhuriana.Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Hawajijui hawaUnatembea na mme wa mtu anakuchakaza unazeeka badae unaanza kutafuta wa kukuoa nan atakaekuoa ushatumika sana
Njoo nikuwoweHabari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Kha wee huna msimamo kwa kweli.Habari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Ila si ushajua anae mke?Siibi mume wa mtu coz awali wakati tunaanza mahusiano alinidanganya hana mke.
TuliaMimi ninamke Ila niko na manzi nyingine ambayo ni single mama, mtoto wake anaelekea kutimiza mwaka , hafu hapa nawasiwasi kuwa ni sha mpa mimba . Nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajuvi hili tangazo la kutafuta mke tujiongeze wakuuuHabari wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii.
Io Achana nae kwake ni kam unampa kazi nyingine....huyu hatak mwacha mme wa mtu na hatak zaa nae adi apate wakwakeMwambie ahalalishe kwanza uwe mke wa pili ndo umzalie otherwise achana nae tu