Mume wa mtu afia nyumba ya wageni(guest house) akiwa na mke wa mtu wakivunja amri ya sita:

Huku Usambaani likikumbumbukia unakufa na kitu kiko mkuu sawa.....

Mwenye kesi ya kujibu ni Naomi, Kayange kasepa...

Babu DC!!
 
Ukitumia hayo maviagra kisha uongeze na redbul lazima utapumzika kwa amani.
 
jamani ndani ya ndoa shida tupu.....huwezi jua historia ya hawa ndugu. e.g kama umekuwa wa kwanza kutoboa mwali basi ukikutana naye lazima akulilie umle, ikishindikana ujue hatatulia kamwe.....

Hamna lo lote. Zote zafanana.
 
du eti wanasemaga nzi kufia kwenye kidonda ni kawaida. basi huyo nae kafia vitani. ebu waulize kama alikuwa kavaa kondomu.
 
Back
Top Bottom