Mume wa mtu afia nyumba ya wageni(guest house) akiwa na mke wa mtu wakivunja amri ya sita:


Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,701
Likes
12
Points
135
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,701 12 135
Heshima kwenu wadau.

Mume wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Kayange mkazi wa Mbezi magari saba amefia gesti akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Naomi naye mkazi wa Mbezi jijini Dar es salaam.

Imeelezwa bwana Kayange aliaga anaenda Bagamoyo kikazi naye bi Naomi aliaga anaenda safari,wakiwa wamekumbatiana ghafla hali ya bwana Kayange ilibadilika sababu ikiwa ni kuzidisha vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..

My take.

Bwana Kayange unamnywea mke wa mwenzio vidonge? MUNGU amekuona nenda kajibu
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,701
Likes
12
Points
135
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,701 12 135
Source: Morningstar radio
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Heshima kwenu wadau.

Mume wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Kayange mkazi wa Mbezi magari saba amefia gesti akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Naomi naye mkazi wa Mbezi jijini Dar es salaam.

Imeelezwa bwana Kayange aliaga anaenda Bagamoyo kikazi naye bi Naomi aliaga anaenda safari,wakiwa wamekumbatiana ghafla hali ya bwana Kayange ilibadilika sababu ikiwa ni kuzidisha vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..

My take.

Bwana Kayange unamnywea mke wa mwenzio vidonge? MUNGU amekuona nenda kajibu
MUWA UKIOZAMISHA MELI. Nouma sana
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
4,765
Likes
1,989
Points
280
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
4,765 1,989 280
Aiseeee!!! Rigwaride la Naomi limemtoa uhai
 
S

Sungura Toto

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
200
Likes
1
Points
0
S

Sungura Toto

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
200 1 0
We unafikiri hata wanaoongoza kwa kudanja na ngoma ni akina nani!! Ni hao hao walioko kwenye ndoa wanakula na kuliwa kwa kwenda mbele kisa kukomoana!!!
 
serio

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
6,420
Likes
1,645
Points
280
serio

serio

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
6,420 1,645 280
Another man dies of sexual sweetness?? Hii kitu nooma iasee
 
serio

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
6,420
Likes
1,645
Points
280
serio

serio

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
6,420 1,645 280
Aiseeee!!! Rigwaride la Naomi limemtoa uhai
Hivi ma engineer wameshindwa kubuni ka mashine kakupiga extent ya sexual sweetness jaman? Au hawajalifikiria hilo?
 
Mlachake

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Messages
3,417
Likes
1,324
Points
280
Mlachake

Mlachake

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2009
3,417 1,324 280
kumbe ndio maana wake zetu wanatoka nje. inabidi nasisi tuwe tunakula hivyo vitu aisee
 
amaizing

amaizing

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
3,561
Likes
11,910
Points
280
amaizing

amaizing

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
3,561 11,910 280
mmh,ni noma sana,kwa mtindo huu ukimwi utaisha kwel?Mungu tusaidie
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,230
Likes
855
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,230 855 280
Aisee hataree
 
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,173
Likes
653
Points
280
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,173 653 280
Weka Picha!
 
Junior Lecturer

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
796
Likes
183
Points
60
Age
29
Junior Lecturer

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
796 183 60
Bado ke wa mtu atabaki kuwa poison/ sumu
 
Kisali.TechnitianJr.

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
593
Likes
39
Points
0
Kisali.TechnitianJr.

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
593 39 0
mbana watu siku hizi hawajiamini kama wanaweza? Mpaka uwezeshwe na vidonge? :A S 39::A S 39::A S 39:
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,842
Likes
5,201
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,842 5,201 280
weka picha ya naomi....
 

Forum statistics

Threads 1,251,558
Members 481,767
Posts 29,775,953