Mume wa mtu afia nyumba ya wageni(guest house) akiwa na mke wa mtu wakivunja amri ya sita:

Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
1,086
Heshima kwenu wadau.

Mume wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Kayange mkazi wa Mbezi magari saba amefia gesti akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Naomi naye mkazi wa Mbezi jijini Dar es salaam.

Imeelezwa bwana Kayange aliaga anaenda Bagamoyo kikazi naye bi Naomi aliaga anaenda safari,wakiwa wamekumbatiana ghafla hali ya bwana Kayange ilibadilika sababu ikiwa ni kuzidisha vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..

My take.

Bwana Kayange unamnywea mke wa mwenzio vidonge? MUNGU amekuona nenda kajibu
 

MUWA UKIOZAMISHA MELI. Nouma sana
 
Another man dies of sexual sweetness?? Hii kitu nooma iasee
 
mmh,ni noma sana,kwa mtindo huu ukimwi utaisha kwel?Mungu tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…