Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani nje ya madaNasikitika sana kuona vijana wa .com mkikosa hekma, busara na maarifa.
Kumbuka kuwa dada yako akiachika na wewe umeachika yani upo mjini kwa hisani ya papuchi ya sista
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa akugonge na wewe ili ukae kimya. Mwache mwanaume awe mwanaume. Cha msingi dada yako hajui.Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wanaume kiboko, huu mtego hatunasi. Tunachoweza fanya ni kumpa hela kisha nae akanivulia chupi, napiga show kisha ndio basi. Anakaa kimya mwenyewe.Hapo sasa ndio pa kula hela za shemu mkuu fanya juu chini ajue kwamba umemuona na unajua kwamba ameingia gest ila note usimwambie dada yako kamwe.
CC Zero IQ
Bila samahani mkuu, haya meno yangu huwa nayafanyia maombi tu...tehteehhSamahani nje ya mada
Hivi hayo meno yako mawili unayapigaje mswaki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naona shemeji yako anakuonea wivu kama sio kukukosea adabu...tehteehh