Mume wa Dada nimemwona ameingia guest house vipi nilipue bomu kwa Dada?

Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini

Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa akugonge na wewe ili ukae kimya. Mwache mwanaume awe mwanaume. Cha msingi dada yako hajui.
 
Hapo sasa ndio pa kula hela za shemu mkuu fanya juu chini ajue kwamba umemuona na unajua kwamba ameingia gest ila note usimwambie dada yako kamwe.

CC Zero IQ
Sisi wanaume kiboko, huu mtego hatunasi. Tunachoweza fanya ni kumpa hela kisha nae akanivulia chupi, napiga show kisha ndio basi. Anakaa kimya mwenyewe.
 
Wanaume tujitahidi kuepuka kula chipsi mayai laini laini na kuku wa kizungu maana tunazidi kuwa finyu ktk hekima kimaisha.

"Time is a wealthy when it's timed consecutively"
Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini

Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kula kulala mnatabu sana................mi ndoa yangu aliivunja mdogo wa wife kwa style hiyohiyo ya umbea....nimewafukuza wote
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom