MUME: Mke wangu naskia Beka katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu..!
MKE:Mmmh! basi huyo atakuwa MAMA SAM maana yule ndo ANAJIFANYAGA MGUMU SANA.!!
Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?
Alooo! Hii Kali Ni Ngumu Sana Kuamua Lakin Hakuna Kinachoshindikana Chini Ya Jua "philosophical Ideas Should Be Applied" Duu! Unaweza Kumpolomoshea Matofal Ya Uso.Hahahaaaa......!
Alooo! Hii Kali Ni Ngumu Sana Kuamua Lakin Hakuna Kinachoshindikana Chini Ya Jua "philosophical Ideas Should Be Applied" Duu! Unaweza Kumpolomoshea tofal Za Uso.Hahahaaaa......!