MUME: Mke wangu nakupenda sana ila naomba kujua
umewahi kuvunja uaminifu mara ngapi?
MKE: Siku ya kwanza nililala na mwenye nyumba sababu
alikuwa anatudai kodi.
MUME: Safii.
MKE: Siku ya pili ulipo fanyiwa oparesheni na pesa hakuna
nikalala na dokta.
MUME: Kumbe unanijali ehh!
MKE: Siku ya tatu kipindi cha uchaguzi ulipokuwa unaomba kura
ikabidi nitembee na wapiga kura wote ili wakupigie kura.
MUME: Tobaaa!!!!!!!!!!!!!!
Naomba mnisaidie kufahamu kwani kuuliza si ujinga,Hivi ni kweli kwamba hakuna sababu yoyote ya mgao wa umeme bali umeme unakatwa ili wenye vitambi wapige dili zao?
Naomba mnisaidie kufahamu kwani kuuliza si ujinga,Hivi ni kweli kwamba hakuna sababu yoyote ya mgao wa umeme bali umeme unakatwa ili wenye vitambi wapige dili zao?