The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
hata kama una mke mmoja kwani akilala chumba chake na wewe chako kuna tatizo gani yaani nini umuhimu wa kulala pamoja zaidi ya huduma ya tendo la ndoa ambalo si kila siku!au basi vitanda viwe viwili chumbani?ni mawazo 2 mkuu,
umeniwahi tu
nilitaka anzisha thread kuhusu jambo hili....
kuna vitu muhimu mno hapa vya kujadili