Mume na mke kulala chumba kimoja na kitanda kimoja,

Kwa idea ya mleta thread naona tunakoelekea tutakuwa na ndoa za skype..bwana yuko Belgium mke yupo bunju Kigoma..
Manake kupumuliana kumezidi aiseee...Ukihitaji dushelele unakula flight unapigika halaf unasepa.

ujue hata tendo la ndoa linasababisha kupumuliana sana.

Naona tumekaribia kuanza zi-scan nyeti na kuziunga pamoja zimalizane zenyewe kwa zenyewe huko huko.

Hata kuishi nyumba moja ni kunyimana privacy, labda tuoane na kila mtu aendelee kuishi kwake tu.

Kupanga ni kuchagua.
 
nachotaka kujua zaidi ya tendo la ndoa what is the benefit of sleeping in one bed?mtu anakunywa mabia yake anakuja kujibwaga kitandani na maharufu how the hell am i suppose to tolerate the smell for the rest of my life,its not fair,
 
najaribu kumwelewa anaokenda sipati picha.

Labda waje watakaomwelewa watatusaidia.

Kwa idea ya mleta thread naona tunakoelekea tutakuwa na ndoa za skype..bwana yuko Belgium mke yupo bunju Kigoma..
Manake kupumuliana kumezidi aiseee...Ukihitaji dushelele unakula flight unapigika halaf unasepa.
 
Huo mfano ulioutolea wa kusema zamani mume alikuwa anaenda bomani pale tu alipomhitaji mkewe, nafikiri ilikuwa inategemeana na mila na desturi za baadhi ya makabila. Lakini wanaume wengi waliokuwa na wake wengi ndio waliofanya hivyo kwa sababu kila mwanamke alikuwa na boma au nyumba yake.

Kama sasa hivi unawaza kutokuwa na mahusiano ya karibu na mume wako, nahisi kutakuwa na jambo jingine la ziada lililokusibu na usitake kusingizia au kuleta mifano ya kizamani. Mara nyingi imetokea mme au mke wakigombana, hutengana vyumba kwa mama kwenda kulala chumbani kwa watoto na wapatanapo hurudiana.

Magonjwa wakati mwingine nayo husababisha utengano ndani ya nyumba kutokana na kutokuwepo na upendo wa kweli katika ndoa. Kwa nini umnyanyapae mwenzio anapokuwa mgonjwa? Maneno matamu na mazuri yenye kutiana faraja wakati wa ndoa au neema,"Tutapendana mpaka kifo kitutenganishe", huwa yanaenda wapi wakati wa shida na dhiki? Mpende jirani yako (mme au mke) kama nafsi yako.
 
pacha ?hapo kwenye bold vipi?au ipo huko?
back to the thread
sasa mlale vyumba tofauti siku ikiwa mnataka mchakato sharti kwa application au?jamani kuna mambo mengine sio lazima saaaana kuyafanya hata kama zamani waliyafanya sasa mi niwe na minenge yangu nisubiri mpka siku bwana aseme njoo tulale kwangu?ah heb acheni masikhara jamani!
 
im not my friend but soon i will be so im just brainstorming this issue,so u can be of great help
By the time you get married please don't try this at home..it doesn't work that way unless there is a big problem among couples themselves..lakini sio kwa sababu za kusema kupumuliana!
 
Tatizo hamnipi sababu za msingi zaidi ya tendo la ndoa nini umuhimu wa kulala pamoja,tunahitaji kuwa watu wa kutafakari sana sana kila jambo faida na hasara za kila kitu,jamani nahitaji hoja za msingi
 
nachotaka kujua zaidi ya tendo la ndoa what is the benefit of sleeping in one bed?mtu anakunywa mabia yake anakuja kujibwaga kitandani na maharufu how the hell am i suppose to tolerate the smell for the rest of my life,its not fair,

NOW UR TALKING!tiririka sasa!hapa tunaweza kukupa ushauri nini la kufanya sio ulivyoanza tayari ulishakujiandaa na suluhisho!
 
Tatizo hamnipi sababu za msingi zaidi ya tendo la ndoa nini umuhimu wa kulala pamoja,tunahitaji kuwa watu wa kutafakari sana sana kila jambo faida na hasara za kila kitu,jamani nahitaji hoja za msingi
na n=bahati nzuri sana hili pekee ndo linafanya NDOA IITWE NDOA!
 
pacha ?hapo kwenye bold vipi?au ipo huko?
back to the thread
sasa mlale vyumba tofauti siku ikiwa mnataka mchakato sharti kwa application au?jamani kuna mambo mengine sio lazima saaaana kuyafanya hata kama zamani waliyafanya sasa mi niwe na minenge yangu nisubiri mpka siku bwana aseme njoo tulale kwangu?ah heb acheni masikhara jamani!

Ndio kama hivo pacha..
Lakini mie sio kwa sababu ya kupumuliana ila ni majukumu tu..
Nashangaa mleta hoja anapendekeza ihalalishwe..lol
 
nachotaka kujua zaidi ya tendo la ndoa what is the benefit of sleeping in one bed?mtu anakunywa mabia yake anakuja kujibwaga kitandani na maharufu how the hell am i suppose to tolerate the smell for the rest of my life,its not fair,

Issue nadhani ni kurekebishana kama unashindwa kuvumilia harufu ya mibia..lakini sio kutengana vyumba.
 
By the time you get married please don't try this at home..it doesn't work that way unless there is a big problem among couples themselves..lakini sio kwa sababu za kusema kupumuliana!

i want to propose before the wedding coz i dont see the point unless on the day we need each other,otherwise each one should be comfortable with his or her space,sitamnyima majukumu mengne ntatekeleza,but uhuru huu niwe nao,
 
Ndio kama hivo pacha..
Lakini mie sio kwa sababu ya kupumuliana ila ni majukumu tu..
Nashangaa mleta hoja anapendekeza ihalalishwe..lol

kama amepata tb basi nipate kisa kulala pamoja why?na katoto kangu kachanga kapata why?ok haya tulale pamoja the what precautions should i take for all this?
 
Huo mfano ulioutolea wa kusema zamani mume alikuwa anaenda bomani pale tu alipomhitaji mkewe, nafikiri ilikuwa inategemeana na mila na desturi za baadhi ya makabila. Lakini wanaume wengi waliokuwa na wake wengi ndio waliofanya hivyo kwa sababu kila mwanamke alikuwa na boma au nyumba yake.

Kama sasa hivi unawaza kutokuwa na mahusiano ya karibu na mume wako, nahisi kutakuwa na jambo jingine la ziada lililokusibu na usitake kusingizia au kuleta mifano ya kizamani. Mara nyingi imetokea mme au mke wakigombana, hutengana vyumba kwa mama kwenda kulala chumbani kwa watoto na wapatanapo hurudiana.

Magonjwa wakati mwingine nayo husababisha utengano ndani ya nyumba kutokana na kutokuwepo na upendo wa kweli katika ndoa. Kwa nini umnyanyapae mwenzio anapokuwa mgonjwa? Maneno matamu na mazuri yenye kutiana faraja wakati wa ndoa au neema,"Tutapendana mpaka kifo kitutenganishe", huwa yanaenda wapi wakati wa shida na dhiki? Mpende jirani yako (mme au mke) kama nafsi yako.

kwani tumeunganishwa mioyo au vitanda?mi kulala rum nyingne haiondoi upendo wangu hata kidogo,kwani mchungaji anasemaga mlale kitanda kimoja,cha muhimu huyu ni mume wangu nampa huduma ya halali kama mume na siibi au kutenda dhambi kwa kushiriki nae tendo hili kuu ndo nadhani maana ya ndoa,ndoa si kulala kitanda kimoja,haya nimelala kitanda kimoja na muwaza buzi langu hii ni ndoa?
 
i want to propose before the wedding coz i dont see the point unless on the day we need each other,otherwise each one should be comfortable with his or her space,sitamnyima majukumu mengne ntatekeleza,but uhuru huu niwe nao,

They always say it takes two to tango..
As long as i know marriage there is probably very narrow chance for your proposal to be approved...
However, you can still talk to your spouse..Lakini usisahau kumaintain membership yako hapa JF cuz i believe with no time lazima uje tena na msredi!
 
They always say it takes two tango..
As long as i know marriage there is probably very narrow chance for your proposal to be approved...
However, you can still try to talk to your spouse..Lakini usisahau kumaintain membership yako hapa JF cuz i believe with no time lazima uje tena na msredi!

nilijaribu kugusia akasema it has some logic but we need to think about it critically he is very understanding kama petcash,we love to try the odds,
 
sawa lakini kama m2 amepata vijidudu vya mfano ebola na dalili bado bado sa si nitapata je umoja hapo utakuwa nguvu tena dada?nielimishe faida kabla sijajaribu nikapewa talaka,

Unakimbia ugonjwa kwa kumtenga mwenzio alafu ukinyegeka unaenda kuunganisha vikojoleo nae chance ya kuambukizwa air bone ipo mahali popote na saa yeyote.
 
Back
Top Bottom