NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Mitihani isokua na mwalimu wala cheti.............
Kuna article moja ya New York Times la jana inasema ndoa za siku hizi watu wanaoana kwenye level moja, zamani ilikuwa bosi anamuoa sekretari halafu anamuachisha kazi awe mama wa nyumbani.Wote yapasa wasaidiane ili mwanamke nae apate uzoefu,kuna msemo unasema"USILE SANA, KUNA NJAA"maana yake usiwe tegemezi sana,kuna kufa.
Miaka 16 ina-qualify kweli kwenye ndoa zilizodumu? Sidhani. Kama ni futbol, hata kipindi cha kwanza hakijaisha.
Anyway, as a man, there's only one formula to getting along with us; DO NOT HURT A MAN'S PRIDE. And since we ain't all cut from the same piece of cloth, we don't share the same pride. So some may find theirs in providing, others may not. Just study the brotha.
Kwa upande wako utamwachia mkeo kufanya baadhi ya majukumu yanayopaswa kufanywa nawe?Hizi habari za suluhisho copy and paste unaweza kuambiwa niachie mke wako nilale naye ndiyo suluhisho hivi hivi.
Majukumu yanayopaswa kufanwa na mimi ni yapi?Kwa upande wako utamwachia mkeo kufanya baadhi ya majukumu yanayopaswa kufanywa nawe?
Mfano kulipa bills,kulisha familia na mahitaji mengineyo hapo home...Majukumu yanayopaswa kufanwa na mimi ni yapi?
Kuna thread humu inasema wanaume wanapungua sasa huyu sijui ni mme / ni Mme mtarajiwa hajui majukumu ya Mme ndani ya nyumba ni yepi!!!!!! Very interesting.Mfano kulipa bills,kulisha familia na mahitaji mengineyo hapo home...
Ha haa anajua ila kaamua tu kunifanyia kusudi....Kuna thread humu inasema wanaume wanapungua sasa huyu sijui ni mme / ni Mme mtarajiwa hajui majukumu ya Mme ndani ya nyumba ni yepi!!!!!! Very interesting.
Wapi nimesema sijui?Kuna thread humu inasema wanaume wanapungua sasa huyu sijui ni mme / ni Mme mtarajiwa hajui majukumu ya Mme ndani ya nyumba ni yepi!!!!!! Very interesting.
Bills zote zipo automatically paid.Mfano kulipa bills,kulisha familia na mahitaji mengineyo hapo home...
Ukifika uendako, rudia njia hii hii na ukifika hapa kaa kitako utoe mawili matatu[emoji12]Nimepita tu ...!!
Naomba nijitahidi kuyajibu maswal yako kidogo kwa experience yangu. Kabla ya kuenda zaidi, ningeomba niseme kuwa ni mume wa mke mmoja, tupo pamoja bila kuachana hata kwa siku 1 akaenda kwao kwa sasa ni miaka 40+. Tumejaliwa watoto 8, kati ya hao 5 wapo hai. Nimebarikiwa kuwasomesha na wa mwisho yupo Chuo Kikuu. Hivyo wote walifikia huko.
1. Hili swala la wanawake kuingilia majukumu ya waume zao lina mchango kiasi gani katika familia zinazohudumiwa na wake hapa Tanzania ilihali waume zao wana vipato?
2. Kama wanaume hujisikia mashujaa/vizuri kwa kuhudumia familia, na kama hizi ni hisia za asili, hawa wanaume wanaonyang'anywa hizi hisia na wake zao huzifidia vipi?
3. Ni mara nyingi tumeona hapa jf wanandoa wa kiume wakilalamika kuwa wake zao wana vipato lakini hawachangii katika kuhudumia familia. Hili nalo liwekwe vizuri.
hahaha taasisi iliyojaa unafki...nabeba watoto tunakula kwa J4 akirudi akutane na masufuria
Jambo kijana?Ukifika uendako, rudia njia hii hii na ukifika hapa kaa kitako utoe mawili matatu[emoji12]