UMEMALIZA MKUUU.Atakae mwoa huyu ajue ameoa mke wa MTU angojee kuumia roho kwenye mke akiwa anawasiliana na mkewe juu ya malezi ya mtoto wao
Au basWanakuja
Imenibidi nikasome upya post zako zote ,,,Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Mcha mungu babayake huyo mtoto akuoe sasaAnahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Nina 25 kama upo tayar njoo PM
AbsolutelyWatu kama nyie mnaoweka matangazo ya uongo ndio mnawaharibia wale walio serious
Kunyonya na kumeza je!sijawahi
Nmecheka sana ,,anajiita mcha mungu ,,lkn ukipitia post zake zamwanzon utaishia kutoa mijicho.Mcha mungu babayake huyo mtoto akuoe sasa
Hahahaa mkuuuu tupo Adim sanaaa yaaaan sanaaaa mkuuuu.Haaaa haaaa haaaa! Wanaume tumekua viumbe adimu sikuiz,anyway! Umri wangu hauruhusu bidada!
ahahahaaaaa Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu. utakuwa unamtafuta yahayaAnahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,