Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
''Maana mwanaume hakutoka katika mwanamke bali mwanamke katika mwanaume, wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke kwaajili ya mwanaume'' (1wakorinto 11:8-9)
Hebu tafakari hili neno kwanza!!!!!!!
kuna maneno niliyaona mahali ila sikumbuki vizuri...
kuwa mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume inamaanisha nini vile??????
ipo hiyo inamaanisha mwanaume ndiyo aliumbwa halafu akatafutiwa msaidizi wake , kumbuka siyo Boss wake au mtawala wake au walingana cheo ni msaidizi wake ....... halafu mwenyezi mungu akaendelea huko mbele kwenye mistari mingi mingi ikiwemo hiyo ya ladyfurahia na huu wa Lady doctor ndiyo umemaliza kazi kabisa ........''Maana mwanaume hakutoka katika mwanamke bali mwanamke katika mwanaume, wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke kwaajili ya mwanaume'' (1wakorinto 11:8-9)
acheni kulalamika fanyeni kazi yenu kutimiza lengo la kuletwa kwenu humu duniani.
Nakumbuka kwa mbali katoka kwenye ubavu na wala sio part nyingine ya mwili ili awe protected n.k n.k
mwanamke ni msaisdizi ndio ila wanaume wa siku hizi kwenu mwanamke ni mtumwa sio msidizi!!!!!!!!!!
tatizo ni huo usawa mnaoutafutaga/takaga.
Hahahahahaha............. Mme mwema hafumaniwi bana
Ni kupiga goti kwa Muumba lazima atapatikana tu.
wakat mwingine tunajisahau tu..wakati mwingne tunatumia akili zetu wenyewe kupanga mambo yetu bila kumshirikisha Mungu..kupitia uzi huu ladyfurahia..wengi tumejengwa....
Jamani nikisoma hiyo mistari yakwenye bible mliyocoment machozi yananitoka ninakiu yakumjua Muumba wangu sana, kwani mtoa mada usali wapi wewe?
Sio usawa, mnapenda kutukuzwa yani muwe treated kama malikia wa nyuki vile
na sisi hayo tufanyiwe na nani???
vigezo naona si muhimu mwanaume mwema ni yule yupo FULL MNAZI muda wote vinginevyo hawa watu hata wema wanaujua basi wapewa magari ,nyumba, pesa, hakuna wema hapo ukiwa fiti na wema ndiyo unapoanzaMwanaume mwema ndiyo mwanaume wa aina gani?
Vigezo gani vinatumika kuamua kuwa mwanaume fulani ni mwena au si mwema?
Hivyo vigezo ni universal au vinabadilika from one culture or person to another?
vigezo naona si muhimu mwanaume mwema ni yule yupo FULL MNAZI muda wote vinginevyo hawa watu hata wema wanaujua basi wapewa magari ,nyumba, pesa, hakuna wema hapo ukiwa fiti na wema ndiyo unapoanza
ni kweli usemalo bestito