Sal
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 498
- 228
Sasa ulitegemea mwanaume wa kwako mwenyewe, kweli unaumwa. Kuna marriage material kama wewe na girlfriend material, kama ulikua hujui. Wewe kakuona unafaa kua mke maana utamlelea watoto wake vizuri, uta deal na wazazi wake vizuri n.k. n.k. Halafu kuna asofaa kuoa lakini ni mzuri kua girlfriend. Sura nzuri ya mvuto, kavivu, hakana adabu, lakini kanapendwa tu kwa hiyo tabia yake, ila kanapendeza kuwe girlfriend sio mke.
Shukuru mungu unaolewa na ukome kufuatulia fuatilia wanaume siku nyingine. Kujipa ma pressure ya utotoni.
Shukuru mungu unaolewa na ukome kufuatulia fuatilia wanaume siku nyingine. Kujipa ma pressure ya utotoni.