mume mtarajiwa

mume mtarajiwa

Hii stori bado haijakamilika vizuri haswa katika kijiwe chetu hiki cha upashkuna...

Ulipaswa uendelee naye huko FB usiishie hapo tu pa kupanga kugegedana...

Hakikisha unafika hadi eneo la tukio, tena hakikisha wewe unakuwa wa mwisho kufika ukiwa umechelewa...

Mpige hilo surprise halafu ndio uje tena utusimulie mwayego...ikiwezekana nenda hata na Gea Habib teh teh

Wenzio huku Tandale kwa Ndevu tumezoea bila kusikia umbea umbea siku haipiti atii...umbea sunna!!!

hahahaha! Loh!
 
Nawewe umezidi kumchokonoa mwenzio ndo nini?ona sasa umeondka na kinyesi! Umeyataka mwenyewe!! Unalo hilo!!
 
mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea

Mme wako ni Mbuluraz we mtu hata haumjui anaku-add anajilengelengesha na yeye anaingia kichwa kichwa kweli huna mchumba hapo achana nae hata kama vikao vinaendelea.
 
mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea

labda anataka amalizie cha mwisho mwisho kabla hujampiga pingu
 
ulichokuwa unatafuta umekipata dada kumchunguza binadamu ni kujitafutia maradhi na dunia yenyewe maradhi nje nje presha, sukari sijui nini wuuuuiii dada kuingia kwenye ndoa ambayo unamshaka nayo utajuta maakuzi kwa hili unayo wewe
 
miaka wapi nasikia watu wapo mzigoni na picha keshapewa

Ehhee, haya bwana, hiyo ni bongo darisalama,mie niliona kama ndio kawapa chance warembo mapepe, mana watamsagura mpaka wajaribu.
 
mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea
Lengo la majaribio yako ilikuwa unataka kujua kama mpenzi wako ni mwaminifu au siyo mwaminifu na tayari umejua mimi hapo sioni shida maana kama ni daktari ameshajua mgonjwa wake anasumbuliwa na ugonjwa gani na dawa yake ni ya aina gani baasi! nadhani ushawahi kusoma stori ya paka na maziwa shule ya msingi ndo ilivyo kwa mwanaume mbele ya mwanamke!
 
Utupu wa mwanaume kuonwa na mademu wengi sio ishu kuliko utupu wa mwanamke kuonwa na kudinywa na wanaume wengi.
Ndo mana mtoto wa kike akiamka tu asubuhi anavalishwa chupi lakini wa kiume hata mpk saa sita sio ishu.
 
so you mean mwanaume kucheat ni sawa?
 
ngoja na mimi nichukue njia hiyo ya kwako nami nijue tupo wangapi? ila umetisha,ila usimuache mweleze ukweli na mwambie hiyo tabia aiache mara moja vinginevyo mtasambaratika,
 
Yaani wewe mdada ni mpuuzi majaribu mengine hayana manufaa yoyote. Hutakiwi kuwa wala kuingia kwenye ndoa kwani muda wote wafikiria jinsi ya kutafuta matatizo ndani kwako.
 
Pole kwa kujiumiza dada angu! Kama hakuwah kukuvunjia heshima mbele ya ndugu na rafiki zako hana shida , wanaume wote wana udhaifu wao angalia usiruke majivu afu ukakanyaga moto
 
Ukimchunguza sana alacho kuku huwezi kumpkia ale mgeni au ukimchunguza sana alacho nyuki huwezi kula asali amini amini nakuambia mpka hapo ndoa itawashinda
 
Mi ninakaa na mwanamke ndani lakini nikibipiwa nje napiga kama kawa.

We umechukua vipicha vya demu anayevutia kuliko wewe alafu unaleta ujinga. Kila mwanaume angefanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom