Mume Kuvaa Kanga - Wakati Gani Unafaa?

Mume Kuvaa Kanga - Wakati Gani Unafaa?

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
Labda swali hili nitalielekeza kwa Wenzi ambao wanaishi pamoja:

1. Je ni sawa kwa mwenzi wa kiume kuvaa au kujifunga kanga/kitenge? (Si kikoi plz)
2. Na kama ni sawa, ni wakati gani mwafaka wa kufanya hivyo?
3. Je kujifunga Kanga/Kitenge kuna nafasi gani katika mahusiano?
 
Mara kadhaa nimemwona mwenzi wangu akivaa Tshits zangu; Bukta; Suruali na hata shati zangu. Hili nalo limekaaje?
 
Labda swali hili nitalielekeza kwa Wenzi ambao wanaishi pamoja:

1. Je ni sawa kwa mwenzi wa kiume kuvaa au kujifunga kanga/kitenge? (Si kikoi plz)
2. Na kama ni sawa, ni wakati gani mwafaka wa kufanya hivyo?
3. Je kujifunga Kanga/Kitenge kuna nafasi gani katika mahusiano?

Ni sawa mwaya si ndo mahaba ya pwani jamani. Unavaa ili pia maungo nyeti yapumue mwaya. ukivaa kanga huna haja ya kuvaa kitu ndani ili upate upepo pia. Inarahisisha pia urahisi wa mahaba.
 
i used to see my papa akivaa kitenge na kanga nilipokuwa bado nipo home,alikuwa anavaa akiwa ametoka kuamka asubuhi au hata jioni akiwa home.ila bila ya shati juu wala fulana.
lakini haikumzuia kuwa na wanawake zaidi ya wanne na kimada kila mtaa,kwahiyo sidhani kama ina msaada wowote kwenye kuchachandulisha penzi.
 
i see wanawake zaidi ya wanne na kimada kila mtaa :A S-confused1:?
 
baadhi hutumia khanga za wake zao kama taulo la kujifutia maji baada ya kuoga ila wengine ni feelings tu na labda desturi, kuna wababa wengine wakisafiri lazima wachukue kanga/kitenge cha mama na wakifika huko waendako kama ni hotelini hukitoa ndani ya mkoba na kkukiweka kitandani muda wote hadi aondike humo hotelini. nimeona na wengine huchukua mpaka nguo za ndani za wake zao kama chupi nk. wengine vitu vidogovidogo kama bangili, mikufu nk. lakini wote hao hawana sababu zaidi ya hisia tu kuwa wakishika ama kivaa vitu hivyo wanahisi hali ya nyumbani zaidi na hata wengine kuvuta kumbukumbu za kitandani kabisa, wengine ni self esteem tu unaweza kulinganisha na kuringia wwake/waume zao. in my opinion, vyote ni vyema na recommended. ila kanga kama khanga haina impact yoyote, muhimu ni hisia iliyosababisha mwenzio ajisikie kuvaa nguo yako
 
Kama wife anapenda uvae kanga vaa tu mwaya
ukiwa umepumzika ndani funga yako ,ukitoka kuoga waweza kuvaa mradi tu uko confortable
 
1. Si utamaduni wa mtanzania hata kidogo.

2. Hakuna faida yoyote kuvaa kitende cha mwanamke na ni aibu mwanaume mzima kutembea umejifunda kanga pekee yake. Mwanamke mwenyewe haruhusiwi kuvaa kanga pekee yake nje ya chumba chake. Labda avae huko ndani.

3. Ni tabia tulizo ridhi toka kwa waarabu.
 
baadhi hutumia khanga za wake zao kama taulo la kujifutia maji baada ya kuoga ila wengine ni feelings tu na labda desturi, kuna wababa wengine wakisafiri lazima wachukue kanga/kitenge cha mama na wakifika huko waendako kama ni hotelini hukitoa ndani ya mkoba na kkukiweka kitandani muda wote hadi aondike humo hotelini. Nimeona na wengine huchukua mpaka nguo za ndani za wake zao kama chupi nk. Wengine vitu vidogovidogo kama bangili, mikufu nk. Lakini wote hao hawana sababu zaidi ya hisia tu kuwa wakishika ama kivaa vitu hivyo wanahisi hali ya nyumbani zaidi na hata wengine kuvuta kumbukumbu za kitandani kabisa, wengine ni self esteem tu unaweza kulinganisha na kuringia wwake/waume zao. In my opinion, vyote ni vyema na recommended. Ila kanga kama khanga haina impact yoyote, muhimu ni hisia iliyosababisha mwenzio ajisikie kuvaa nguo yako

hapo kwenye rangi, kuNa kiongozi wa sirikali alizua kizaza baada ya kutoa hilo vazi akiZAni ni leso ya kawaida. Sikubaliani just a myth.
 
Huko Zenji wanaita MSULI yaani mwanaume akivaa kanga yupo home, ready at anytime kula mzigo, mhongo ukienda hewani anvuta tu mamaa
anampa kitu na mamaa utakuta nae kavaa kangaa au urojorojo hana chupi, free ni kunyenyua tu na kuingiza kama Maasai
 
Ni kweli kabisa hakuna matatizo pale unapo vaa kanga ya mpenzi wako.Hata mimi napenda sana niwe na kanga ya Mpenzi wangu .
baadhi hutumia khanga za wake zao kama taulo la kujifutia maji baada ya kuoga ila wengine ni feelings tu na labda desturi, kuna wababa wengine wakisafiri lazima wachukue kanga/kitenge cha mama na wakifika huko waendako kama ni hotelini hukitoa ndani ya mkoba na kkukiweka kitandani muda wote hadi aondike humo hotelini. nimeona na wengine huchukua mpaka nguo za ndani za wake zao kama chupi nk. wengine vitu vidogovidogo kama bangili, mikufu nk. lakini wote hao hawana sababu zaidi ya hisia tu kuwa wakishika ama kivaa vitu hivyo wanahisi hali ya nyumbani zaidi na hata wengine kuvuta kumbukumbu za kitandani kabisa, wengine ni self esteem tu unaweza kulinganisha na kuringia wwake/waume zao. in my opinion, vyote ni vyema na recommended. ila kanga kama khanga haina impact yoyote, muhimu ni hisia iliyosababisha mwenzio ajisikie kuvaa nguo yako
 
1.Kila kitu kinaweza kuwa sawa ni jinsi wewe unavyochukulia,hakuna sehemu iliyoandikwa ni kosa mwanaume kuvaa kanga.
2.Akiwa nyumbani anaweza vaa si sehemu nyingine yeyote
3.Haina uhusiano wa general labda tu waweza kuta mwanamke mwingine kumuona mwanamme ina m-turn on as in inamfanya amuone mwanamume wake sexy na kutamani tendo la ndoa,mwingine anaona mumewe anapendeza,mwingine ni ya kumpunguzia adha za kuvua nguo kila anapotaka kufanya mapenzi......Lol:-*😛layball:
 
hii ni jadi ya ukabila, mie kwetu hakuna hii hivyo chumbani sawa
 
1. Si utamaduni wa mtanzania hata kidogo.

2. Hakuna faida yoyote kuvaa kitende cha mwanamke na ni aibu mwanaume mzima kutembea umejifunda kanga pekee yake. Mwanamke mwenyewe haruhusiwi kuvaa kanga pekee yake nje ya chumba chake. Labda avae huko ndani.

3. Ni tabia tulizo ridhi toka kwa waarabu.

Wewe kweli ni tabu tupu maana hata huo utamaduni wa Mtanzania huujui.

Kwani kanga au kitenge mtu anavaa na kwenda nacho baa au hoteli.

Kwa taarifa yako mwarabu havai kanga wala kitenge nadhani wewe ndiyo kwanza umeingia mjini karibuni kutoka bush hujui hata tafauti ya tamaduni za waarabu na waswahili.
 
Back
Top Bottom