Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Uko sahihi Mkuu hekima ya Mungu siyo ya ki sport- sport, it's imparted an expounded for the chosen few! ningeshangaa sana km ungeelewa jargon, maana hata Mafarisayo na Masadukayo hawakuelewa neno, mpaka wanakufa!Maneno mengi lakini hamna kitu ulichosema, unatofautisha vipi Knowledge ufahamu au kujua na Brain ubongo?
Huyo ni mtu wa suluhu!! wa kutafuta Amani, ila wengine watamuona dhaifu! '' tafuteni amani kwa watu wote''Mwanaume unaenda kushtaki mkeo kwa wakwe sijui mashemeji ....shughulika nae kwa akili otherwise HUNA AKILI ...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
watatu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahizi unao watoto wangapi uliozalisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdada mmoja nilimchapa maswali kadhaaa akaniangalia Kisha akasema "yaan wew huyo uliemuoa anapata raha Sana I wish ningekuwa mm in female voice"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipigo si sehemu ya akili bana. Mwanamke yeyote unaweza kumtuliza kwa akili bila kichapo. Unaweza kumtandika kwa akili tu bila kumgusa!
Mfano kuna jamaa yangu aliwahi kuvurugwa kwenye issue flani na mkewe, siku moja alimbadilikia sura na kupiga ngumi ukuta kwa hasira ( ofcourse yuko vizuri ni bondia) na baada ya hapo akaondoka kwa hasira!
Yule mwanamke aliingia uoga na kubadilika hadi kesho akiwaza hivi ile ngumi ingenipata usoni ingekuwaje! Jamaa hakua na nia ya kumgusa lakini baada ya tafakuri nzito alitafuta mbinu ya kumuonesha mkewe kuwa hili jambo likome mara moja.[emoji41][emoji41]
Ukiona mwanamke anabadilika na kutokuwa muoga kufanya lolote kwako ujue tatizo sio yeye bali wewe hutumii AKILI tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] nipo wangu, wakati mwingine karantini hizi unajikuta umejiweka mwenyewe, nipo habari ya uzima wako!Salama
Nani amekuficha etii jamanii
Hiyo amani sio kwa kujiexpose hivyo. Deal nae kwa akili tu ...Huyo ni mtu wa suluhu!! wa kutafuta Amani, ila wengine watamuona dhaifu! '' tafuteni amani kwa watu wote''
Ushindwe wewe halafu halafu umrudishe kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kujifunza jinsi ya kummudu hujawahi ona mbaba lina miaka zaidi ya 45-50 anaoa kabinti kamiaka 20-25 kana mpeleka puta na likitambi lake la supu za kongoro haaa haaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika ni kumcontrol, hawa usipowacontrol ndoa inakufa.Kwahiyo kuishi na mke kwa akili ndio maana yake kumcontrol? Hii tasfri ni yako mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wengi ni dhaifu na hawana akili wao wasumbufu wanawake wakianza kuwasumbua wanachanganyikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye akil timamu hupimwa wakat ameoa na pind mwanamke anapomvuruga ndipo hupimwa uwezo wa akil na maamuz yake
kilicho akilini kitumie
Write your reply...mke mmoja akizingua mtafutie mwenzie