Mume kumfuata Mke!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume kumfuata Mke!!!!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TASLIMU, Jan 13, 2012.

 1. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada wana jamvi,mara nyingi kwa watumishi wa kike inakua rahisi kuhama kamfuta mume wake,kama wapo mbali kikazi.Je kama mume anataka kuhama amfuate mke wake je hizo taratibu zinasemaje??Naomba mnipe taratibu mimi(male)nataka kumfuata mke wangu.msaada msaada jamani
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  WEWE SI NDIE ULIOA MKUU??? WEWE SI NDIO ULIMTOA KWAO UKAMLETA KWENU AU NI KINYUME CHA HIVYO??
  ACHA YEYE AKUFUATE BANA....HATA UKIWA PORINI NAMNA GANI NA AJE TU HAFUATI PORI BALI ANAKUFUATA WEWE.

  LAKINI??.....Haya mambo ya kufuatanafuatana mbona yamepitwa na wakati mkuu?? chapa kazi hapo ulipo nae acha aendelee na kazi. akiweza ahamie kwako....AU WIVU MKUU???? UNAHISI JAMAA WANAKUTIME NINI??
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,361
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  Taratibu zinaruhusu unaandika barua kuomba kumfuata mkeo,kuna wengi tu nimeona wanawafata wake zao!
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu pamoja kum time wenzake,naona pia ufanisi unakuwa mdogo jamaa akiwa kazini.Lakini siku hizi haki sawa,sio mwanaume tu kufuatwa na mwanamke bali pia mwanamke anaweza kufuatwa na mwanaume kule aliko.
   
 5. G

  G.JUMA Senior Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye nia pana njia.
   
 6. c

  christer Senior Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  how old are you?
  kama hauna uhakika na unacho kisema usichangie.

  kwanza kauli ya kumuoa au kumtoa kwao inaonesha wewe ni mwanaume wa aina gani.wameoana na sasa ni kitu kimoja.
  kauli ya kufatanafatana kumepitwa na wakati pia umekosea-ndoa ni wawili kuwa pamoja we unajua madhara ya kila mtu kukaa mwenyewe?kimahusiano ata kiuchumi?

  usipende kupotosha wenzio.je kama mama hawezi kuhama kazi na baba anaweza kwanini asimfuate?maana ukimfuata kumuoa tu umesha onesha kumuhitaji sasa kumfuata kikazi kuna shida gani.
   
 7. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,384
  Likes Received: 10,477
  Trophy Points: 280
  Wewe kibaraka wa wazungu. Haki sawa ni kwa watu wasio wastaarabu. Mwanamke anatolewa mahali. Acha ujinga wa kizungu.

  Mkuu acha mambo ya kufuata mke, utakuwa mtumwa, wanamatatizo hawa usiwaone2 hivi.

  Fanya Kiume acha mambo ya haki sawa yatakupoteza kuwa na msimamo. Ikiwa vipi basi vipi, unamtema wanawake wapo wengi tu tena wenye heshima. Asikuzingue
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unamtema mke wako wa ndoa kisa uhamisho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!? Upupu,kha!
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  upupu ndo nn?
   
 10. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,384
  Likes Received: 10,477
  Trophy Points: 280
  Wewe ni wale wale. kama vipi aache kazi. Wewe unajua MANENO YA MUNGU?
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tatizo wanaojibu ni watoto wadogo mkuu wewe kama vp mfuate mkeo bwana mimi mwenyewe I am about to do that, Hakika mkuu tupo wengi!
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  na tatizo jingine ndoa zinatofautiana kama wewe ni Muslim unaweza kuoa mwingine but sisi wakristo tunakubali kumfuata tuu.
   
 13. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,384
  Likes Received: 10,477
  Trophy Points: 280
  Wewe ni wale wale. Utaona baada ya mda.

  Mimi mkuu nakuambia kwa roho saafi. Mimi mwenye nimekataa kumfuata yupo anafanya hapahapa
  Mwanamke analipiwa mahali hivi umelisahau hilo? Kwann analipiwa mahali? acheni ujinga wa kizungu.
   
 14. mbalisana

  mbalisana Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Andika barua ya uhamisho,ambatanisha cheti cha ndoa ni muhimu sana, so simple unahama
   
 15. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Acha uzoba!! mwananamke ndio anatakiwa kukufuata na siyo ww kumfuata mwanamke .........
   
 16. c

  christer Senior Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  penye nyekundu pana onesha wewe ni kibaraka wa nani.
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mwambie huyo!mwanamke atamwacha babaye na mamaye na kuambatana natana na mumewe!
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI

  haya hapo juu ni maneno ya signature yako ni namna gani yanapotray ulivo..............CRAP.

   
 19. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo yeye anafanya kaz chuo kikuu dom,na mkoa niliopo mimi hakuna chuo kikuu,ningemleta kwangu,mim nafanya kaz halimashauri!nashakuru maoni yako
  WAKATABAU
   
 20. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio uzoba mkuu!ila ishu ni kuwa kazi anafanya chuo,sasa nilipo mimi hakuna chuo,na yeye ajanilazimisha mimi kuama
   
Loading...