Wapendwa nisaidieni hili eti ni sahihi kumuita mpenzi wako au mume wako daddy?
Inamaana gani? angali daddy ni baba yako mzazi au ndo kumkabidhi majukumu ya mzazi wako.
Hii tabia anayo mama angu...... Hapa sitii neno!
Wako humwiti daddy
Wapendwa nisaidieni hili eti ni sahihi kumuita mpenzi wako au mume wako daddy?
Inamaana gani? angali daddy ni baba yako mzazi au ndo kumkabidhi majukumu ya mzazi wako.
kwa kuwa nyie ni watoto wake na huwa mnamuita hivo kwanini ainogeshe penzi lake mwacheni ajiachie mwe..
mi binafsi naona ni sawa tu ikiwa hakuna anayekwazika kati yenu kuitwa daddy au mummy ni ishara ya mapenzi ya hali ya juu na kuonyesha unatambua jukumu lake kwa ukubwa upi.