Mume kuanzia 40 - 45

Unaweza kuona maswali yangu kama sio ya maana ila yameongeza wigo zaidi ya kukuelewa wewe kwa sasa. Sidhani kama nimekosea. I dont mean to joke around. Ni vema pia ukasema umri wako tafadhali if u wont mind.
Thanks

mbona nimeshaweka wazi 42
 
mbona nimeshaweka wazi 42

Ahsante Dinam. Kwani akipatikana mdau ana miaka 36-38 hivi kuna ubaya?
Nasikiaga age ain't nothing when it comes to love. Would love to hear from you on a serious note.
 
Last edited by a moderator:
Ninahitaji mwenza bado sijapata kwa alie tayari anipm. Nipo single mother nina mtoto mmoja 9yrs ambae hatajali tuanze mahusiano. Ninafanya kazi. Please kejeli sio busara i am serios

unadhani umejieleza vya kutosha? ongeza maelezo ili PM ziwe nyingi nawe uchague kutoka kwenye lundo lao waliovutiwa na maelezo yako
 
Unaweza kuona maswali yangu kama sio ya maana ila yameongeza wigo zaidi ya kukuelewa wewe kwa sasa. Sidhani kama nimekosea. I dont mean to joke around. Ni vema pia ukasema umri wako tafadhali if u wont mind.
Thanks

umri tayari
 
This ain't a joke. Una mpango wa kuzaa tena? Maana at 42 menopause is around the corner, u better hurry up dada!
 
mimi hapa mama kweli nina watoto 3.mmoja kiume wawili wakike.kwa sasa niko mwenyewe,nimejiari namba yangu 0756264439
 
40-45yrs bado anakusubiri tu?
Ukikutana na mwanamme wa umri hio single kimbia, atakuwa kimeo
Bora awe kafiwa na mkewe au mkewe kamkimbia.
Kongosho acha nikurekebishe kidogo..si wanawake tu wanapitia haya wapo wanaume wengi wanapitia haya pia. Sio wote wamejaliwa kuoa au kuolewa. Ninawafahamu wengi zaidi ya umri uliotajwa wanawake kwa wanaume ambao wanahitaji kuolewa au kuoa hawajabahatika. Kwa hivi ni vyema ku support mtu anayekuja na ombi kama hili tusilete matani kwa kila jambo.
 
Sijamtania, nimempa mtizamo wangu

At 40, hajawahi kuoa kabisa? No way!

Kongosho, wapo tena wengi tuu mbona! kuna wale wanaosubiria kutimiza ndoto zao mfano elimu kazi na mengineyo, kuna wale waoga hawajiamini,hawajajiandaa kimaisha wapo wengi tu mbona tunaishi nao. Kwa hivi mtihani nakupa ukitaka jua huyu aliyetoa ombi muulize ni wangapi wamemcontact utastaajabu.
 
Najua wapo, lakini siamini kama vigezo na masharti vitakuwa vikubwa

Sasa nani anataka kukaa na mme asiyejiamini? Au mwoga wa maisha? Au mtu ambaye at 40 bado hajajiandaa kimaisha?

Anyway, mie naowaona katika umri huo na hawajaoa huwa nawaona hawako husband material, labda kama anaolewa kwa ajili ya kuolewa tu. Hata hivyo vigezo vya kuwa mme kwa kila mmoja wetu hutofautiana. So akama yeye anaridhika aolewe tu, hata marioo nao wanaoa, ndio maisha.

Back
Top Bottom