THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,554
- 14,823
Salaaam mabibi na mabwana
salam marafiki zangu
Tupo na shughuli zetu za kujenga taifa letu kama kawaida
Mdada mmoja wa rika lapata miaka 33 anatoa simulizi kwamba ana jirani yake amepatwa na mkasa unaompa shida kubwa kwenye ndoa yake,
Mume wake ana tabia au tatizo sugu la kujikojolea kitandani,na wamefanya utaratibu na kuchukua hatua mbali mbali ikiwemo kwenda hospitali na kwa waganga wa tiba za asili kwa mda sasa lakini tatzo bado linaendelea na ameendelea kuivumilia hali ile kwa mda mrefu sana ila kwa sasa anaelekea kushindwa
Ndoa anaipenda, mume anampenda ila maji yashamfika shingoni
Kuna mkono wa mtu??