THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,607
- 14,861
- Thread starter
- #41
nakubaliana na wewe...
Acha fujo fazaa! Lol! Mwenzio yamemkuta...
nimeupenda ufafanuzi wako wa awali ule pia ashadii
thank u kiongozi
nakubaliana na wewe...
Acha fujo fazaa! Lol! Mwenzio yamemkuta...
päiva;4995605 said:
hapo ndipo huwa nakumbuka vile viapo vya ndoa,ha ha ha kwenye matatizo wengi hukimbia na kusahau kuwa waliapa katika kila hali kuwa pamoja mpaka kifo.
sasa asipofanya mazoezi ya kukuojoa, mke atafaidikaje? Ukimdhibiti kukojoa ataacha kukojoa vyote na utakoma na njaa.
Mhhhm itabidi sasa avalishwe condom time analala :biggrin1:
Avalishwe condom? Duuu! Hii ni kiboko, LOL!
Hahaha si kali wala nini si unajua condom zote must go through a series of tests before they can be sold, kwa hio kumbuka test zake zinakuwa include electronic testing, the water leak test, the air burst test and the strength test...we leo chukua condom itie maji kiasi cha chupa lita moja/mbili utazame.Avalishwe condom? Duuu! Hii ni kiboko, LOL!
Mmmmmmmmmmmmh!!!!!! Huyo ni wa kumuombea tuuu kwa kweli! Ila mke mvumulivu sanaaaa! Mi nashindwa hata kushauri!
vipi LARA1,,mwenzako yamemmkuta huko
assume ingekua ww na yule mchaga wetu
UNGEMTUPA??
:smile: :smile:
huyo anahitaji maombi tu, hakuna kinachomshinda yesu kristo tatizo hilo lipo sana sasahivi kwa sababu ya mapepo wanaojitahidi kuvunja ndoa za watu ila kwa sala ni sekunde tuu linakwisha.
Ndo maaana nimeguna hapo, hata sijui kama ningevumilia!!!! Mungu ipushia mbali!
Hahaha si kali wala nini si unajua condom zote must go through a series of tests before they can be sold, kwa hio kumbuka test zake zinakuwa include electronic testing, the water leak test, the air burst test and the strength test...we leo chukua condom itie maji kiasi cha chupa lita moja/mbili utazame.
Lakini tumia zile Rough Rider condoms sio zile fake ok :biggrin1:
amuone dr.ndodi. Hayo ni matatizo aidha katika mfumo wa taarifa (ambao unaweza kuwa repaired na unywaji wa ndevu za mahindi kwa mpangilio fulani) au tatizo la kuwa na kibofu kidogo.
Ukiongea na mtaalam anaweza kukupatia ufumbuzi. Kwenda kwa waganga wa kienyeji sio tiba. Ieleweke kuwa kukojoa kitandani kunaweza kumtokea mtu yeyote siku yeyote ikiwa atapata stress au kuwa overjoyed kiasi akadisturb mfumo wa taarifa kwenye uti wa mgongo.
Pole sana
mwe! Mwe! I can imagine! Mpe pole kwa kweli!