Mume kikojozi anavumilika??

Mume kikojozi anavumilika??

pole sana ajaribu kwenda kwa wataalam zaidi apate ushauri pia na apunguze kunywa vimiminika kwa wingi wakati wa jion na mkewe ajaribu kumuamsha nyakati za ucku angalau hata mara3 na pia kunadawa moja anaweza ku2mia zile nywele za mahindi anazichukua anamchemshia anampa na nyingine amsagie mavi ya kuku awe anamuwekea kwenye uji na pia ajaribu kwenda kwa wamasai pia
 
mmmhMKUU PRIANKA NI KWELI HAYO??
 
mkuu sijakupata vizuri hapo uliposema ndevu za mahindi
pls clarify mkuu
natanguliza shukrani zangu za dhati

Unapovuna mahindi mabichi, kuna zile nyuzi zake zinaambatana upande wa juu. Zile zinasaidia kurudisha mfumo wa mawasiliano vizuri na matatizo mengine ya uti wa mgongo. Lakini yalazimika kutmika kama dozi iliyolenga jambo fulani ndio maana nikashauri aende kwa Ndodi au Dr. Kibona wa ANTIPA watamsaidia. Ni disorder tu ambayo hata mimi iliwahi kunipata kwa upande wa usingizi, nilikuwa nasinzia mchana na usiku silali
 
thank u
may almighty god bless u
 
kuliko kuharibu ndoa heri walale vyumba tofauti au kitanda tofauti......au kila baada ya masaa mawili amuamshe mumewe akakojei, in time atazoea......
 
Back
Top Bottom