Mume kazidisha upendo maradufu baada ya kumfumania mkewe

Apr 19, 2023
77
123
Mwanamke mmoja alimcheat mume wake. Mume akamkamata, tena kitandani na ni kwenye kitanda chake mwenyewe.

Alichokifanya huyo mwanaume alimwambia jamaa atoke halafu akamwambia huyo mwanamke nenda kaoge uvae twende Shopping leo. Akampeleka shopping baada ya hapo zikawa ni outing za kila siku. Mwanaume akazidisha mapenzi zaidi ya mara kumi ya mwanzo na katika siku hizo zote hakuwahi hata mara moja kumkumbusha huyo mwanamke juu ya fumanizi lake wala hakuwahi kulizungumzia kabisaa.

Lakini cha ajabu ni kuwa mwanamke kila akishtuka usiku anakuta mume wake amekaa kitandani akimuangalia tu hafanyi chochote. Akimuuliza mbona hulali umenitazama tu anamjibu “I’m just admiring your beauty”
Sasa mwanaume amepanga kumpeleka huyo mwanamke vacation mwezi wa nane.

Unamshauri nini huyo mwanamke?
 
Bongo muvi
 
Tea with no sugar
 
Kupata vichekesho hivi nibonyeze ngapi?
 
Back
Top Bottom