Mume Kanuna

Ndoa za siku hizi!
Hata hamfundishwi tena nini kinasemwa hadharani na nini hakisemwi?

Umbuje , nilikuwa najiuliza kwa nn malalamiko yamekuwa mengi tena ya vitu vidogo kama hivi..nahisi watu wanaingia kwen ndoa kwa malengo mengine kbs...inakuwaje unathubutu kimtamkia mumeo neno zito kama hilo? Kilichokutoa kwa wazazi wako ni nini? Si ndio kuvunja mkataba huko? Au ndo anafeel kwamba hiyo papuchi ni more prrecious kuliko mumewe? Hakunaga utani wa ivo bana

Akichepuka itakuja sred nzitooooo......damn
Karucee please note.... OLESAIDIMU umeadimika mkuu...
 
Last edited by a moderator:

Kuna mahali tunakosea wazazi kwenye malezi ya watoto nadhani,vijana wanaingia kwenye ndoa bila kujua majukumu yanayoambatana na vyeo vya mume/mke!!!
 

Too sad umbuje...basi tu. Haya za jioni lakini
 
Usiku wa leo mwite chumbani ukiwa umevaa birthday suit halafu uanze kumchezea belly dance, atakenua mwenyewe.
 
hivi kama mume ana hamu mi sina inakuwaje........, ni lazima ni do hivo hivo

au mi nikiwa na ham ye hana tunafanyaje

Kilichokutoa kwenu nini basi, kama unaweka masharti ya kukugegedwa!? Hakuna excuse ktk issue ya mgegedo, ujisikie udijisikie nikiwa na ham napanda tu.
 
Afu mwanaume kununa yani ni ajabu,tabia za kitoto dume zima nunu
 
Kongosho mwendo ni ule!
Neno punje,punje neno!
Sitaki mimi aibu za kabila hii nyumbani kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Kama mume ana hamu ww huna inabidi ku do hivyo hivyo kwani still anaweza kuenjoy, lakini kama yy hana hamu hamuwezi ku do kwa sababu mashine itakuwa imelala doro!!!

lakini huoni kama mwanamke anakuwa amekosa haki yake ya msingi? mie naamini hakuna kinachoshindikana unless kuwe kunakutokuelewana ndani.

kama mimi naweza kudo kwa ajili yake hata kama sijiskii, kwa nini yeye ashindwe!!!!?
 
King'asti kale kamsemo ka ''nunu nunu wamnunia nani " huwa wanakamaliziaaaaje?
 
Last edited by a moderator:
Out mlisex?wapi hotelini au?huna ruhusa ya kumpa ratiba mumeo.Kama ana hamu jee au aende kwa housegirl?

He he he kesho atasema wanaume hawaridhiki hehe😱😱anajiona yupo right kabisa
 

mie naona kama mdada hajamsoma vzr mumewe, na hajajua nini kisemwe na wkt gani na kwa jinsi gani, hiyo sentensi inaweza kuzungumzwa na mwingine na hali ikawa shwari kbisa.
 
Last edited by a moderator:
mie naona kama mdada hajamsoma vzr mumewe, na hajajua nini kisemwe na wkt gani na kwa jinsi gani, hiyo sentensi inaweza kuzungumzwa na mwingine na hali ikawa shwari kbisa.

Exactly na ndilo kosa lake kubwa enhance au sio?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…