Mume hanifikishi kisawasawa

Hayo mawazo yako hapana; Magonjwa ni mengi ;ushakuwa na familia ; ipo siku utajuta ; mweleze mme wako ilo tatizo lako taratibu ; atajirekebisha tu;
 
HUYU anamdhalilisha mumewe akiongea nae wala asngeandka upuuz
 
Usikimbilie kulalamika labda kuna UBWETE flani ulionao kwa sasa.Ndio maana unakalia kusifia makalio yako,aliyekudanganya mke makalio nani?!We ni mwanamke utajua muda muafaka wa kukaa na mum4o,muweke chini muongee KIKUBWA muelewe tatizo nini..Ukamuingia vzuri atafunguka
MICHEPUKO SIO DILI,BAKI NJIA KUU no matter what!
 
Nawe usituletee hizo. Karoti za Iringa zipo kibao, tena nene. Jisevie mwenyewe mpaka uridhike. Ukichepuka shauri yako, si umesikia ARV mpaka zitolewazo Muhimbili ni feki!
 
Nunua dildo la Mandigo utaridhikaa tu
 
Karoti za iringa! dildo la Mandingo! Mmmh, Sijui kama nimeelewa sawasawa! Anyway hainihusu hii! Ila mtoa uzi ukifikia uamuzi wa kutafuta mchepuko, cheki nami nitakusaidia!
 
Njia moja inafoleni mwambie apige double road.
 
20th February 2013 hadi sasa 5th January 2015 bado hakuridhishi tuuu..?! tupe mrejesho tafadhali....!!
 

Hebu ngojja kidogo.....hapo kwenye kuongezeka makalio na uchumaji mboga kuwa mgumu pameniacha kidogo. Hebu nipm mawasiliano yako nikupe mbinu za kupita huo msitu na hatimaye kufika ikulu ya magogoni bila kukamatwa na polisi wa mkuu wa wilaya ya kinondoni ndg Rugimbana.
 

Na ujinga wako wote huu, mawasiliano ndio kitu muhimu. Kuwa muwazi kwa mumeo
 

Inawezekana hata wewe unaunderperform pia. Ebu jichunguze kwanza ni kweli unaonesha umahiri wako kama hapo mwanzo? Au unamtegemea yeye zaidi? Make kama amejaribu huko pembeni kuna akina dada wanaojua cha kufanya wanapokutana na wanaume. Vinginevyo haumpatii chakula kinachoweza kumpa nguvu ya kukufikisha kileleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…