Mume: Hakuna kutengeneza nywele

 
 
Hebu tuanzie hapa, sababu hasa inayomfanya akuzuie usiende kusuka ni ipi/zipi?
 
Nyie wanawake wa siku hizi mmeongeza sn budget zetu hasa huu msimu wa sikukuu ndio usiguse-ukipiga cm tu una ambulia mzinga wa nywele 40+ Hata hivyo hiyo minywele yenu inanuka sn kutokana na dawa/kemikali zake.
 
 
Ligogoma kwahiyo unadhani hiyo ni dawa?

Nope!! Si dawa ES kwani kama mtu ni malaya ni malaya tu!! Hata umfungie ndani anaweza kubaka hata matango na karoti!!

Kikubwa ni kwamba, mimi kama mwanaume na nimeliona linalotokea na nikapata ushirikiano wake ni vyema kuchukua hatua badala ya kukaa kimya na kumuomba Mungu ukiporwa unaanza kulia!!

Basi, kwa sababu na yeye aliona hilo ndilo suluhu kwake nilifanya hivyo!! Ili kesho na keshokutwa tusijekulaumiana pasina sababu za msingi.

Na nimetoa mfano huo coz sioni sababu ya kumpiga marufuku mkeo kwenda saloon ilhali unataka awe mzuri!! Basi kama naye ameona saloon ni kikwaazo katika ndoa yake ila anataka mke mzuri basi amfungulie kichemba chake nyumbani kwake amwekee na vifaa simple tu wataalam watakuwa wanakuja hapo hapo home ingawa mengine anaweza kujifunza yeye mwenyewe. Simple tu kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…