Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,192
mnapenda sana kutishia mwanamke aende kwao. komesha Lady j dee habashi kwaoo
amemkomesha nani? kweli wanamama mnashangaza,leo hii mnataka kumuona G f.ala? amekaa na jide miaka yote na jide hajamzalia hata mtoto bro wetu,lakini jamaa kavumilia eti leo mnamsifia jide? wanamama mjitazafakari.
Habari wanaume mje mtujuze
Mume anapomzuia mkewe kwendakusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini ? Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi za asili ghalama ya kusuka kwa wiki anaweza tumia 1000 au 2000some time mwanamke anajigharamia. Best yangu ana wakati mgumu wajuzi wa mambo wasomi wa mambo ya ndoa vitabu vya mungu vinasemaje?
Na huyu mwanaume anatatizo gani?
Karibuni nisiwachoshe
Sorry nadandia treni kwa mbele
Dandia tu haina shida,tumeshafika kazuramimba kigoma.
Gadner ana watoto wa ngapi?
Je alithobitisha kwa dna kuwa ni wake hajabambikiwa???
Hatimaye umeonekana
amemkomesha nani? kweli wanamama mnashangaza,leo hii mnataka kumuona G f.ala? amekaa na jide miaka yote na jide hajamzalia hata mtoto bro wetu,lakini jamaa kavumilia eti leo mnamsifia jide? wanamama mjitazafakari.
hahahaaaaa.....swalama ipooo???
kama kusuka ni 2000 au 1000 hapo safi! we suka tu! lakini isije ikawa 60,000/ kwa mwezi, wakati hata nyumba hamna!!
Habari wanaume mje mtujuze.
Mume anapomzuia mkewe kwenda kusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini?
Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi za asili gharama ya kusuka kwa wiki anaweza tumia 1000 au 2000some time mwanamke anajigharamia.
Best yangu ana wakati mgumu wajuzi wa mambo wasomi wa mambo ya ndoa vitabu vya mungu vinasemaje?
Na huyu mwanaume anatatizo gani?
Karibuni nisiwachoshe
No, siyo jinga sema approaching yake inaweza haikuwa nzuri!!
Nina miaka zaidi ya kumi kwenye ndoa, mke wangu hajawahi kanyaga saloon!! Ukimuona yupo smart na anabadilisha mitindo ya nywele kila siku na ni yoyote unayofahamu.
Aliacha kwenda saloon baada ya kugundua kuwa kuna wanaume wanawatumia wahudumu wa saloon kama makuwadi!!
So, kila akienda saloon anakuwadiwa kwa nguvu zote!! Na wanampa na mbinu zote, bahati nilishtuka mapema nikambana akanipa full story.
Tangu hapo mke wangu saloon ni big no!! Lengo ni kujaribu kupunguza ile risk ya kuchange tabia kwa ajili ya familia yangu na mimi mwenyewe.
Kama una swali uliza utajibiwa
Acha nipite tu
Kwa hiyo saluni mke haendi, je mume anaenda au haendi????