Mume bandidu.

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,040
Mume na mke wameingia hotel ya bei ghali.
Mume: Wife unakula nini?
Mke: Baby utakachokula na mie hichoX2.
Mume: Mhudumuu!
Mhudumu: Naam mkubwa, unaorder ki2 gani?
Mume: Chips na kuku sahani 2 bei gani?
Mhudumu: 65,000/=
Mume: Inakuwa na kachumbari?
Mhudumu: Ndio mkubwa.
Mume: Kachumbari nayo bei gani?
Mhudumu: Kachumbari bure boss.
Mume: Basi 2naomba kachumbari sahani 2!
 
Hahahahahahaaaa!
Pambaf zake...
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahaha......dah! Uuuuwi mbavu zanguuu.........hahahahahahahahahaha
 
Huyo mume lazma ni Rejao na mke ni FF! Xory kwa kusema ukweli.
 
tiiiiii tiiiiii... Kweli mume uyu ni bandidu, tena bandidu mchumi
 
duh, huyu ni noma huenda hata mke alioa bure,,,,lol,
 
Kwani sie wapare tunafanyaga hayo makitu mbona unatuonea Mdau wangu jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…