Mume au Mke ndio furaha yako

Mume au Mke ndio furaha yako

Ukiweka furaha yako itegemeee mtu au vitu utakuja umia sana .

Furaha yako itatoka ndani yao na itategemea wewe binafsi unakabilianaje na hisia hasi ( haribifu) zinazojizalisha ndani yako.
Bora hata umemwambia ukweli
 
Kanuni yangu ni enjoy mauhusiano/ ndoa yako kwa kadri iwezekananyo lakini usiache kuaamdaa moyo wako in case ikitokea mambo yaka haribika ukijua kuwa huyo mwenzako sio Mungu ni binadamu hivyo huwezi kumpa 100%.
Waliofeli mauhusiano/ ndoa wasikujaze sumu, kila mtu ana njia zake hivyo enjoy your relationship/marriage while you still can
 
Ndoa kila mtu ndoa ,kuna kipindi nilikua kitaa kuna mama mmoja kanikuta eti kijana oa jesika wangu ameshamaliza chuo , yani watu wanalazimisha wazi wazi kabisa.
ndoa ni muhimu kwenye maisha
 
Back
Top Bottom