Mume au Mke ndio furaha yako

Mume au Mke ndio furaha yako

Kwa mke furaha yako ni mmeo, na mme furaha yako ni mkeo, basi muishi kwa furaha, amani, kushirikiana na kika siku kila mmoja awe na hamu na mwenzie, kila siku, kila mmoja abuni mbinu ya kumtia hamu mwenzie, mnapokutana kwenye tendo la ndoa hapo ubunifu uwe maradufu.

Chakula kuleni pamoja,mkitoka tokeni pamoja, kunyweni pamoja, kila mnapokerana nyie ndio zidisheni urafiki na mapenzi.

Ikiwezekana tengenezeni kanuni za namna ya kuishi na mkubaliane kila kitu kifanyweje kwa mujibu wa hizo kanuni.

Msiogope kukwaruzana maana nyie ni binadamu, muhimu ni mfanyeje mnapokorofishana.
Una uhakika
 
Uweza kuona kabisa haujakosea na kwa mda huo kwel haujakosea kabisa ila baadae ukaionja shubiri , haya mambo hayanaga mwongozo ,ogopa mtu mwenye meno 32 .
kwanini useme nimekosea kuoa?je kwenye hicho cha kukosea kuoa,wewe mchango wako ukoje?
 
ukianze msingi wa ndoa kwa mawazo hadi kama yako,ndivyo ndoa yako itakavyokuwa
Huo misingi hauwezi kuwa na mawazo ya mtu mmoja tu , kumbuka ndoa ni ya watu wawili na kamwe awawezi kuwa na wazo moja labda mmoja avumilie ( ajifanye mjinga mwisho wa siku awe mjinga kabisa) .
 
Sishauri wanaume furaha zao ndiyo ziwe wake zao. Hawa viumbe hawachelewi kukuliza
 
Ukiweka furaha yako itegemeee mtu au vitu utakuja umia sana .

Furaha yako itatoka ndani yao na itategemea wewe binafsi unakabilianaje na hisia hasi ( haribifu) zinazojizalisha ndani yako.
furaha na mkeo mnaijenga nyie wana ndoa,uharibifu kwenye ndoa,pia mnauleta nyie wana ndoa
 
Tendo la ndoa ni kiunganishi tu, ila kuna mengi makubwa na ya msingi sana inapokuja katika swala la ndoa.
 
Kukaa na mke ni kazi sana, kukaa na mdada wiki tu ni shida sembuse huyo mpaka mzeeke😁 anyway labda labda ipo siku tabadili mtazamo ila kwa Sasa bado Npo Npo
 
Ukiona mtu anasema amekosea kuoa jua kabisa alitaka huyo mke /mume wake ,awe mvumilivu na kufuata tu matakwa yake , ikawa kinyume chake.
 
Kwa mke furaha yako ni mmeo, na mme furaha yako ni mkeo, basi muishi kwa furaha, amani, kushirikiana na kika siku kila mmoja awe na hamu na mwenzie, kila siku, kila mmoja abuni mbinu ya kumtia hamu mwenzie, mnapokutana kwenye tendo la ndoa hapo ubunifu uwe maradufu.

Chakula kuleni pamoja,mkitoka tokeni pamoja, kunyweni pamoja, kila mnapokerana nyie ndio zidisheni urafiki na mapenzi.

Ikiwezekana tengenezeni kanuni za namna ya kuishi na mkubaliane kila kitu kifanyweje kwa mujibu wa hizo kanuni.

Msiogope kukwaruzana maana nyie ni binadamu, muhimu ni mfanyeje mnapokorofishana.
Asante kwa ushauri nikipatantafanya yanayotuhusu
 
Ndoa kila mtu ndoa ,kuna kipindi nilikua kitaa kuna mama mmoja kanikuta eti kijana oa jesika wangu ameshamaliza chuo , yani watu wanalazimisha wazi wazi kabisa.
Alafu kila wakati nakutan na hili swala sasa wanaume kazi tunayo kulazimishana kupenda wao kuweza
 
Back
Top Bottom