Mume ashuhudia mkewe akichepuka

Huu mchezo nasemaga sintoendelea nao lakini najikuta nimerudia makosa yaleyale....nitakufa kifo kibaya sana
 
eti nimeamua kumpiga chini ingawa hajaniambia kama ameridhia.

muache akafunguliwe biashara aendelee na maisha yake she cant stay sad forever hata kama kosa limeshatendeka.
Ni kweli, maisha ni kuchagua
 
Siku na wewe mkeo akiliwa ndio utajua uchungu wa hiyo kitu,, acheni kutembea na wake za watu wazee hujui mme wake amepitia mangapi kumtunza huyo mke.. hiyo kitu isikie tu inauma sana
Kweli inauma, alivyokuwa ananisimulia nilishikwa na hasira sana, ila nilivumilia kwa sababu sina hatimiliki kwake
 
Mi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanaume, madem ambao hawajaolewa wako lundo kila siku wanahangaika kupata wakuwatuliza,nyie mnawaacha na kwenda kwa walioolewa kwa nini lakini?
Tatizo ni chura, zinatofautiana
 
Wazinzi hawata........
 
Ujue na mkeo analiwa pia.
 
😁😁😁😁😁 aya mkuu
Haya mambo usipokuwa makini mkuu, unaweza kufa masikini.Ukiwa unahonga sana wanakugeuza chuma ulete, kuja kushtuka uzee ndio huo, huna cha kujivunia
 
Na sio kweli kuwa anamridhisha kuliko mumewe.
Wanasemaga tu hivi kuwasifia michepuko yao
Shetani ameteka watu sana
hawasemi uongo, michepuko ina style nyingi ambazo wife, hawezi hata nusu ya safari za uvinza, Shetani akileta mitindo hiyo ni lazima umwite wife malaya maana ataeleza kaziona wapi km ni mitandaoni basi alijaribu na nani
haya mavitu tuyaache tu, hata Daud (2 Samuel 11:2) alipoona mdada Bethsheda akioga na mgongo upo wazi alituma mumewe (Uria Mhiti) apelekwe mbele vitani auawe ali afaidi na bado huyo Mama alikuja mzaa Sulemani (2 Samweli 12:24) ambaye alioa wanawake kibao na michepuko iliyotambulika rasmi 700
Hapo sijui Shetani hakuwepo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…