Mume ashuhudia mkewe akichepuka

Black tea hii. Mi huwa situmii. Niletee maziwa huko!
Kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, hata nilipokuwa nachepuka naye nilikuwa makini sana
kwa nini achepuke kwa watu wawili; nilitamani nimzabe vibao, lakini baada ya kutafakari nikajiona nami ni mwizi pia.
 
Hiyo msg aliyomtumia ina maudhui yoyote ya vitisho vya kifo?
Hapana; ila alitoa matusi makali sana...ikabidi mwanamke atunge uongo kuwapigia simu wazazi wake, kuwa simu aliiacha kwa rafiki yake,ambaye alikuwa akiangalia xy, ndipo mumewe kupiga simu na kusikia hizo kelele akahisi ni mkewe; ingawa ukweli mumewe anaujua kwa sababu mkewe alikuwa anamtaja wakati anashughulikiwa
 
Kiufupi ni kwamba wewe mchepuko na huyo mmewake wote ni wachovu kitandani ndio maana kamtafuta mchepuko mwingine atakayemtosheleza! Usiwe na hasira bro iyo ilikua ni kukufikishia wewe taarifa ya kwamba haumtoshelezi.
 
Kiufupi ni kwamba wewe mchepuko na huyo mmewake wote ni wachovu kitandani ndio maana kamtafuta mchepuko mwingine atakayemtosheleza! Usiwe na hasira bro iyo ilikua ni kukufikishia wewe taarifa ya kwamba haumtoshelezi.
Tatizo ni pesa, mi huwa ni bahili fulani hivi kwenye kuhonga; jamaa aliyekuwa naye, haonei huruma hela zake
 
Sasa hapo hakuna kuona huruma, hizi huruma huruma zinatuponza Waafrika. Yaani anafikia mpaka ya kumtukana mumewe?! Hilo ni malaya liliokubuhu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…