Mume anatapika na kula maembe mabichi! Mkewe ni mjamzito wa miezi mi 3, hii imekaaje?

Roya ucnifurahihe mie, kwani ukihama mkoa na mimba nayo inahama tumbo?.....msome vizuri Pasco naona anaweza kukuelewesha vizuri, natamani yakutokee kwa kweli ili mjue kutuheshimu vizuri, wakati huo mie nilikuwa nafurahi kweli, c kila akitoka kazini yupo home anajickia vibaya/kajichokea pombe haipandi vizuri, nyama choma zimikwama, bac akitoka job home tu 2nafarijiana.
Hii sasa ni unyanyasaji wa kijinsia!
 
afadhali umuhakikishie Birigita....inatokea sana tu, na cjui kama ni kwangu tu lakini imetokea mr anampenda huyo mtoto kuliko maelezo, yaani ndio kipenzi chake.
Alaaa! nilikuwa sijajua bana! I will work on it!
 
Hii sasa ni unyanyasaji wa kijinsia!

mbona ikitokea kwa wife huoni kama ni unyanyasaji?...laiti mngelijua jinc gani mimba inavyosumbua mcngesema, ni jana tu frnd wangu ananical analia kweli kweli, namuuliza kulikoni ananiambia nilimuambia mr aniletee miwa japo nijickie vizuri imagine amerudi saa 2 hii hana hata kipande cha kucngizia, yaani ilikuwa kec nimemembeleza weee mpaka bac, ana mimba ya miezi 3....Mungu huyu angefanya tugawane majukumu jamani nahic mneshika adabu zenu vizuri.
 
Roya Roy hata uhame nchi kama ipo ipo tu:becky::becky:

Yote tisa...kumi ni ile ya hamu ya kubugia udongo.....:preggers:...ndo maana nimeishia wawili, labda wa tatu angeniletea kasheshe hizi!

mbona ikitokea kwa wife huoni kama ni unyanyasaji?...laiti mngelijua jinc gani mimba inavyosumbua mcngesema, ni jana tu frnd wangu ananical analia kweli kweli, namuuliza kulikoni ananiambia nilimuambia mr aniletee miwa japo nijickie vizuri imagine amerudi saa 2 hii hana hata kipande cha kucngizia, yaani ilikuwa kec nimemembeleza weee mpaka bac, ana mimba ya miezi 3....Mungu huyu angefanya tugawane majukumu jamani nahic mneshika adabu zenu vizuri.

Hivi hatuna adabu eh?!
 
Nyamayao taratibu sio wote wengine wanajua jinsi gani ubebaji mimba ulivyo mgumu ni kweli kwa namna moja au nyingine linapokuja suala la kubeba mimba tungekuwa tunagawana majukumu basi mambo mengine yangekuwa yanaenda vizuri tu na mtu angeelewa adha ya kubeba mimba ilivyo kwahiyo ni utu wa mtu na kuthamini yule mtu aliyebeba kile kiumbe tumboni na kiumbe chenyewe pia
 
Yote tisa...kumi ni ile ya hamu ya kubugia udongo.....:preggers:...ndo maana nimeishia wawili, labda wa tatu angeniletea kasheshe hizi!

haa unaogopa kula udongo?...na bora uishie hapo hapo mana nafunga kwaresma yangu ukijaribu wa tatu tu upate joto yake...mie nilikuwa namtengenezea carrots kila asubuhi anabeba, ackisahau carrots ujue hata kama kafika jobanaweza arudi au ataomba apitishiwe, ile hamu ile...khaaa.
 
:becky::becky::becky: Kaizer Waguma??? au sio nshomile weye??

Cloe....taifa la MUngu wakikusikia kuwa umenifananisha hata kidogo na upande huo, hakika watakujia kwa mienge na sime kama walivomfata Yesu!:becky::becky::becky:
 
Kaizer vipi haujakutana na hali hii nakumbuka kama vile nilikusikia siku moja unasema tokea wife ameshika mimba unasikia kichefuchefu mara kwa mara na unapenda kula machungwa na machenza, unamalizia funga sita?
 
....bora uishie hapo hapo mana nafunga kwaresma yangu ukijaribu wa tatu tu upate joto yake...mie nilikuwa namtengenezea carrots kila asubuhi anabeba, ackisahau carrots ujue hata kama kafika jobanaweza arudi au ataomba apitishiwe, ile hamu ile...khaaa.

Tena naenda kwa vasectomy soon...:shocked:
 
mbona ikitokea kwa wife huoni kama ni unyanyasaji?...laiti mngelijua jinc gani mimba inavyosumbua mcngesema, ni jana tu frnd wangu ananical analia kweli kweli, namuuliza kulikoni ananiambia nilimuambia mr aniletee miwa japo nijickie vizuri imagine amerudi saa 2 hii hana hata kipande cha kucngizia, yaani ilikuwa kec nimemembeleza weee mpaka bac, ana mimba ya miezi 3....Mungu huyu angefanya tugawane majukumu jamani nahic mneshika adabu zenu vizuri.

Kuna ambae yeye alikuwa anahitaji PIZZA tena ile large size kila siku na pia nyama ya mbuzi ya kuchoma mwanaume alikoma
 
unajua hii hali haielezeki kabisa, yani ukiwa na hamu na kitu ukikosa unackia roho inataka kuacha mwli, mie ilikuwaga mihogo, hata ucku naamka nakula mhogo wa kuchoma, ya kwanza ilikuwa ilikuwa maembe mabichi na korosho, nilikuwa natafuna kila dk....wacheni jamani.
 
Dah sasa Nyamayao mihogo ya kuchoma ucku ulikuwa unaitoa wapi? au ndio when u are in need of something everything is possible no matter what condition you are in au ndio ulikuwa unafanya reserve ya mihogo?
 
nilikuwa nimeweka oda mahali kbsa, jioni nikitoka job napitia nachukua mpaka ya kesho yake.
 
mbona ikitokea kwa wife huoni kama ni unyanyasaji?...laiti mngelijua jinc gani mimba inavyosumbua mcngesema, ni jana tu frnd wangu ananical analia kweli kweli, namuuliza kulikoni ananiambia nilimuambia mr aniletee miwa japo nijickie vizuri imagine amerudi saa 2 hii hana hata kipande cha kucngizia, yaani ilikuwa kec nimemembeleza weee mpaka bac, ana mimba ya miezi 3....Mungu huyu angefanya tugawane majukumu jamani nahic mneshika adabu zenu vizuri.

lakini, Nyamayao Mwenyezi mungu alishagawa majukumu toka anawaumba Adam na Eva. Adam atatafuta mali/chakula kwa shida na Eva atabeba mimba na kujifungua kwa uchungu!sasa hapo wanawake mnataka nini zaidi, hamuoni kuwa yote hayo ni mipango ya mungu na aliibariki iwe hivyo?!!!!!!
 
Back
Top Bottom