Mume anatapika na kula maembe mabichi! Mkewe ni mjamzito wa miezi mi 3, hii imekaaje?

very serious, inatokea sana tu....cwez kuelezea kisayanc lakini ipo sana tena sana,yaani vituko vya mimba vinahamia kwake, mie yalinitokea hayo na ilikuwa ngumu kwangu kujigundua kama mjamzito coz ckuona tatizo lolote kumbe ndio imehamia kwake.
Nyamayao, kwanza hongera sana, hiyo ni dalili kwanza, mna mapenzi ya kweli, mapenzi ya dhati na you were made for each other, hivyo mmefikia stage ya juu ya mapenzi. Hii ni lever ya spiritual love, hivyo kwa kuona mmekuwa soul mates, spiritis zenu zimeungana, hiyo ndio inaitwa a perfect match!.

Kwa vile nyie ni perfect match, mmoja akiumia, mwenzie anapata maumivu. Hiyo inajenga strongest bond, hakuna kati yenu anaweza kwenda nje ya ndoa na akitoka tuu, utajua, na utaumia, hivyo hatathubutu kurudia tena.

Mkipata vitabu vya PSI, imnaweza kuiboresha bond yenu mpaka mkawa mnazungumza kwa telephathy, ukitaka kitu, anakusikia the moment unakifikiria na kukutimizia hata bila kutamka. Ukifika mahali yupo, utafeel presence yake hata kabla hujamuona.

Hiyo hali kisayansi wanaiita 'stigmata', huwatokea watawa wengi wa ukatoliki wanaompenda Yesu kupindukia, hivyo hupata maumivu ya mateso ya Yesu kila wakati wa kipindi cha kwaresma na wingine hupata hadi makovu na vidonda na kutirisha machozi ya damu.
 
ni kweli wakulu hii hali huwa inatokea...ndo maana huwa nasema bora kulea mtoto kuliko mimba
 
ni kweli wakulu hii hali huwa inatokea...ndo maana huwa nasema bora kulea mtoto kuliko mimba

afadhali umuhakikishie Birigita....inatokea sana tu, na cjui kama ni kwangu tu lakini imetokea mr anampenda huyo mtoto kuliko maelezo, yaani ndio kipenzi chake.
 
afadhali umuhakikishie Birigita....inatokea sana tu, na cjui kama ni kwangu tu lakini imetokea mr anampenda huyo mtoto kuliko maelezo, yaani ndio kipenzi chake.

hii ni kwa wengi mrs...lakini iwe isiwe upendo wa mtoto upo na wa mke pia upo zaidi ya hapo, ila pia nadhani katika watoto kuna ambaye huwa anapendwa zaidi na baba/mama sasa kumbe hii ni sababu mojawapo?
 
Yaan nikinywa beer niitapike yote?? :mad2: Hapana huo 'msaada' sitautoa!

sasa c utaitapika ukidhani ni tatizo lingine, ukishakuja kujua ndio shghuli inaendelea, mie alikuwa anakunywa pombe lakini sio kama mwanzo, sema suala la chakula ndio hapo,yaani ni dalili zile zote za mwanamke mjamzito, hata ufanyaje ikikutokea na pombe hutataka kuickia kama mimba haipendi pombe....
 
Hata nikihama mkoa?? Au hii kemistri/bayoloji haina umbali....:smile-big:
 
hii ni kwa wengi mrs...lakini iwe isiwe upendo wa mtoto upo na wa mke pia upo zaidi ya hapo, ila pia nadhani katika watoto kuna ambaye huwa anapendwa zaidi na baba/mama sasa kumbe hii ni sababu mojawapo?

cjajua kama hii ni sababu moja wapo au vipi, kuna cku nilimuuliza kuhusu hilo sema hakutaka kuwa straight akasihia kusema nampenda sana coz ni kidume changu.
 
wewe hebu dadic vizuri hii kitu....

hii kitu ipo bana, utakuta mtu anakunywa beer weeee lakini haendi ku urinate wala nini jirani ndo anasulubika hata kama kanywa juice glass moja tu.:becky::becky::becky:
hata me napenda tusaidiane jamani yaani hayo mahangaiko ya kutapika,kula limao,maembe mabichi n.k yawe kwa mshikaji me ntaenda labour tu lol!!:A S 8:
 
Hata nikihama mkoa?? Au hii kemistri/bayoloji haina umbali....:smile-big:

Roya ucnifurahihe mie, kwani ukihama mkoa na mimba nayo inahama tumbo?.....msome vizuri Pasco naona anaweza kukuelewesha vizuri, natamani yakutokee kwa kweli ili mjue kutuheshimu vizuri, wakati huo mie nilikuwa nafurahi kweli, c kila akitoka kazini yupo home anajickia vibaya/kajichokea pombe haipandi vizuri, nyama choma zimikwama, bac akitoka job home tu 2nafarijiana.
 
cjajua kama hii ni sababu moja wapo au vipi, kuna cku nilimuuliza kuhusu hilo sema hakutaka kuwa straight akasihia kusema nampenda sana coz ni kidume changu.

hahahahahh.....hahahahaa, aliogopa kucompromise mambo hapo...mtoto anampenda na yeye anampenda lol
 
hii kitu ipo bana, utakuta mtu anakunywa beer weeee lakini haendi ku urinate wala nini jirani ndo anasulubika hata kama kanywa juice glass moja tu.:becky::becky::becky:
hata me napenda tusaidiane jamani yaani hayo mahangaiko ya kutapika,kula limao,maembe mabichi n.k yawe kwa mshikaji me ntaenda labour tu lol!!:A S 8:

hahahaah mwaka 95 ulikuwa Beijing?
 
Back
Top Bottom