Mume anatapika na kula maembe mabichi! Mkewe ni mjamzito wa miezi mi 3, hii imekaaje?

Ule mpango wa UDOM nitautekeleza pindi chuo kitakopofunguliwa baada ya uchaguzi kwahiyo majaribio yangu yataanzia hapo mpwa natumaini utakuwepo kuangalia kama vipengele vya kwenye katiba navitimiza vilivyo

Mpwa umemaliza ile homewrok lakini?:confused2::becky:
 
Tehe tehe!!! dont push back your plans kwasababu ya hii kitu! uwongo mtupu!
Ninywe mm ulewe wewe??!! uliona wapi!

Bigirita, Usikatae inatokea. Mie pia ilinitokea kipindi wife alipokuwa na ujauzito wa first born.Yeye hakuwa na tabia za kuwa na kichefu chefu wala kutapika ila mimi baba ndo ilikuwa kasheshe, kila asubuhi nahisi kutapika tu mpaka mimba ilipofikisha miezi km 5 ndo hali hiyo ikakoma. Sikuwa na Maralia nilipoenda kupima. Kwa hiyo sishangai kwa ndugu hapo hiyo khari kumtokea.
 
Sawa bana, lakini bado haijaniingia akilini! sijapata udadavuzi wa kitaalamu....
 
Duh...! Hii kali kwelikweli....! Labda sayansi bado haijafika huko. Mie yangu macho na masikio....! Lakini jamani nipo Sumbawanga, nifanyeje haya yasinitokee?
Usicheze na mabinti wa shule na wake za watu, hutapatwa na balaa hilo.
 
Bigirita, Usikatae inatokea. Mie pia ilinitokea kipindi wife alipokuwa na ujauzito wa first born.Yeye hakuwa na tabia za kuwa na kichefu chefu wala kutapika ila mimi baba ndo ilikuwa kasheshe, kila asubuhi nahisi kutapika tu mpaka mimba ilipofikisha miezi km 5 ndo hali hiyo ikakoma. Sikuwa na Maralia nilipoenda kupima. Kwa hiyo sishangai kwa ndugu hapo hiyo khari kumtokea.
.......Bado utaalamu unahitajika ili tupate sababu za kisayansi.
 
haaa jamani kwanini sumbawanga tu, mbona mie yalinitokea na watu wa karibu yangu yanawatokea sana tu.....hapo kwenye red hakuna kitu kama hicho, uchungu umuhusu mwanaume?...[/QUOTE]

Inatokea japo si mara nyingi kama kupata kichefuchefu n.k.

Inayoufuata sina ushahidi ila nilisikia kisa ambacho jamaa aliikataa mimba kwa msichana mmoja. Wazee walipomwita kijana kumsihi aseme ukweli jamaa kakataa katu katu hata alipoapizwa. Wakati binti anajifungua jamaa ndie aliekuwa anagaragara kwa uchungu, akaulizwa kulikoni? Akakiri kuwa mimba ilikuwa yake.
 
hayo tena makubwa.....
 
We dadangu mnoko hujambo? Hebu turudi kwenye mada basi. Haya mambo ya kuitana my love huku, wengine tuna wivu mpaka kwa dada zetu LOL

cjambo, mambo yako vipi! mie mwenyewe nina wivu kwako mpaka bac, ndio mana unanaonaga ckubaligi wifi achezewe rafu.....hajambo mama M?
 
MM yuko gado...nataka nifanye mambo flani nami nianze kula maembe mabichi na kujitapikia....Hii chemistry mpya naona inahitaji practical zaidi...Vipi bajeti ya japo vinepi kadhaa itaruhusu?
 
Back
Top Bottom