Mume ananichosha kwa kupenda haki ya ndoa

HEHEHE!
hivi valuu ni kama viagra?....

Yeah ukinywa kidogo inakuongezea nguvu ya kukimbia mbio ndefu sio fupi ni mbio ndefu hata akina mama nao inawasaidia sana hukuona jana Agness alibeba kichupa kizima alikuwa na gemu taffu mzee.
 
"Mimi nina mume ambaye tumekuwa tunaheshimiana na pale tunapokorofishana tunawekana wazi. Ila naona mume wangu anatake advantage of the situation.kila tunapogombana tunaombana msamaha na kila nikimkanya mume wangu kwa tabia yake mbaya huwa anaomba msamaha na tunakuwa na amani lakini sasa yeye haamini nimemsamehe mpaka apate "chakula cha ndoa".

Yaani hata ukimwambia umemsamehe mpaka apate hiyo kitu ndiyo anaamini nimesamehe.

Tatizo siyo kutoa hiyo kitu lakini ni kwamba atataka mshinde siku nzima mkifanya hayo mambo. Tumeoana tuna miezi sita na bado hatuna watoto so we are free in the house.

Najitahidi kumridhisha lakini mwenzangu anahamu kubwa ambayo nashindwa kukabiliana nayo.

Wakati mwingine mpaka nafanya kukimbia kitandani au najichelewesha kwenda kitandani ili nikute ameshalala maana akianza hiyo kitu ni usiku mzima anataka haniachi nafasi ya kulala usingizi. Nikimueleza anasema atapunguza lakini wapi , mchezo ni uleule.

Sitaki aone nafanya mapenzi kama wajibu tu. Ila mwili pia huchoka na hamu huwa pia inaisha.Yaani mimi nafanywa kila siku na pata likizo siku nikiwa mwezini na hata hivyo nitaulizwa kama period imeisha ana hamu na mimi.

Naogopa nikisafiri sijui atafanya na nani maana bila hiyo kitu mume wangu atanifanyia vurugu za kila aina mpaka apate halafu atatulia kama vile si yeye.

Mlioolewa/kuoa mnafanya nini kukabiliana na hali hii inapotokea ? naomba ushauri"

Bwa ha ha..mtanisamehe wajameni..lolz

Kweli walimwengu wana mambo..

Kaaz kwelikweli
 
Yeah ukinywa kidogo inakuongezea nguvu ya kukimbia mbio ndefu sio fupi ni mbio ndefu hata akina mama nao inawasaidia sana hukuona jana Agness alibeba kichupa kizima alikuwa na gemu taffu mzee.

teheteeh ... yaani unakuwa ni muhogo wa jang'ombe kaka, haudondoki! Kuna rafiki yangu aliulizwa ... weeh umekunywa nini leo?? mbona hutosheki?? :) ... hiyo kitu pamoja na mzaramo (konyagi) ... ni balaa tupu!!

MDBD
 
Huyo hapaswi kuwa na wasi wasi, yataisha hayo yote. mimi wakati niko ma my wife kama mchumba kwa kweli ilikuwa tabu tupu. tulimegana ipasavyo tukishinda ndani takribani siku nzima.ilikuwa ni daily kila kona ya nyumba sebuleni kwenye kochi, jikoni, bafuni popote pale mambo yalisawazishwa. tulikuwa hatuna majukumu, lkn alipowasilii daughter wetu wa kwanza mambo yalipungua sana na sasa hivi huwezi amini hatuendi zaidi ya raundi mbili na kwa wiki haizidi mara mbili. huyo dada nadhani ilibidi ajisifu sana inaelekea jamaa anafikishwa ipasavyo ndo maana anahitaji tena na tena
 
umeniondoa kwenye mudi unaposema si wewe, na umeinukuu. michango ya mawazo haitakuwa na nguvu tena. no comment
 
Tatizo siyo kutoa hiyo kitu lakini ni kwamba atataka mshinde siku nzima mkifanya hayo mambo. Tumeoana tuna miezi sita na bado hatuna watoto so we are free in the house.

Najitahidi kumridhisha lakini mwenzangu anahamu kubwa ambayo nashindwa kukabiliana nayo.
Source: harusiyangu.com

Though this is a cook up story - You are still in a honey moon!!!
 
teheteeh ... yaani unakuwa ni muhogo wa jang'ombe kaka, haudondoki! Kuna rafiki yangu aliulizwa ... weeh umekunywa nini leo?? mbona hutosheki?? :) ... hiyo kitu pamoja na mzaramo (konyagi) ... ni balaa tupu!!

MDBD

Hahahaha kweli mkuu wanaobisha waache waendelee kubisha lakini ukweli ndo huo mtu anakimbia mbio ndefu sio fupi mwanzo mwisho jamaa hachoki.
 
Yeah ukinywa kidogo inakuongezea nguvu ya kukimbia mbio ndefu sio fupi ni mbio ndefu hata akina mama nao inawasaidia sana hukuona jana Agness alibeba kichupa kizima alikuwa na gemu taffu mzee.
HEHEHE!niliikuwa nimeshalewa pale!
ila jamaa alikuwa anakunywa ginessi
 
Hahahaha kweli mkuu wanaobisha waache waendelee kubisha lakini ukweli ndo huo mtu anakimbia mbio ndefu sio fupi mwanzo mwisho jamaa hachoki.

Ni mkuu ndugu,

Siyo kila mtu atauona utukufu wa bwana bali wateule wachache. Huyu kijana ni mteule, hana haja na dawa za wamasai au sangoma ili kumpepea jogoo awike. Kama kuna mtu anataka kujua utamu wa mtoto amuulize yule aliyemkosa (mgumba) na anayetaka kujua karaha/raha ya mtoto amuulize mzazi. Kitu ukiwa nacho huwezi kujua thamani yake haswa. Subiri ukikikosa! Huyu dada asiombe hili limtokee.
 
basi napata mashaka mme wa huyu dada labda anakunywa mavaluuu.

Kama anakunywa valuu ni mpuuzi. Hivyo vitu wananywewa vyangu doa au wake za watu kama alivyofanya MC Lema! Huwezi kunywa pombe au viagra kumkomoa my wife wako. Halafu eti wana miezi 6. Baada ya miaka 16 itakuwaje???:confused:
 
Hakuna sababu ya kuweka mpira kwapani. Huyo dada arudi kwenye KP wampatie mbinu za kumtoa jamaa ulimi nje. She must be missing something in terms of expertise. Haiwezekani mwanamume aliyeshughulishwa vizuri akeshe! Si ajabu jamaa anaachwa asome gazeti kwa wakati wake na kivyake vyake. Kwa mwendo huo halisomeki na lazima atakesha. Huyo dada achukulie hilo suala kama zawadi ya nguvu na alitumie vizuri. Jamaa takuwa anaomba ruhusa haraka au anawahi foleni ili amwone mrembo wake. She must be very lucky although she is unknowingly sitting on Gold on Diamond like poor Tanzanians.

Hapo kwenye BOLD hapo ndipo kwenye ukweli.
 
Kama anakunywa valuu ni mpuuzi. Hivyo vitu wananywewa vyangu doa au wake za watu kama alivyofanya MC Lema! Huwezi kunywa pombe au viagra kumkomoa my wife wako. Halafu eti wana miezi 6. Baada ya miaka 16 itakuwaje???:confused:

Shangaa sasa mkuu!
 
Hakuna sababu ya kuweka mpira kwapani. Huyo dada arudi kwenye KP wampatie mbinu za kumtoa jamaa ulimi nje. She must be missing something in terms of expertise. Haiwezekani mwanamume aliyeshughulishwa vizuri akeshe! Si ajabu jamaa anaachwa asome gazeti kwa wakati wake na kivyake vyake. Kwa mwendo huo halisomeki na lazima atakesha. Huyo dada achukulie hilo suala kama zawadi ya nguvu na alitumie vizuri. Jamaa takuwa anaomba ruhusa haraka au anawahi foleni ili amwone mrembo wake. She must be very lucky although she is unknowingly sitting on Gold on Diamond like poor Tanzanians.

Mzee umekula thanks kwa mapoint uliyomwaga hapa. Hakika wewe una PHD ya hii kitu. Umeconclude tayari sina cha kuongeza hapa.
 
Poa mkuu wangu, tuko pamoja. PhD sijaipata, tuombeane labda nitafika huko.

Siku hizi naona unatoa kwa mafungu mafungu, kunani? Tulikuzoea humu ndani full majeshi. Sasa unapatikana kama kwa taabu kweli kama watoto wa geti kali. Natumai ni salama!
 
Kama anakunywa valuu ni mpuuzi. Hivyo vitu wananywewa vyangu doa au wake za watu kama alivyofanya MC Lema! Huwezi kunywa pombe au viagra kumkomoa my wife wako. Halafu eti wana miezi 6. Baada ya miaka 16 itakuwaje???:confused:
ooookeeey!!! endelea.....ehee!!
yani umnywee changu valuu??!!
 
Mwacheni amfukuze mdudu wake...ndipo atakapoona dunia chungu au tamu. Mwambieni ale kabichi na bamia kwa sana apate atelezi mzuri na majimaji mengi kwenye "K". Ache kulalama hapa bure...au tuje kukusaidia mummy...we miss ze good duduz!.
 
wife vipi tena.wats goin on here?
 
Wewe mama shukuru Mungu Mzee ni ngangali. kuna wenzio wananlilia hiyo hawaipati.Dunia hii wanaume wengine wachovu wengine wako kama huyo bwana ambao wanawake wengine wangempata wangeshukuru
 
Back
Top Bottom