BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Huyo mwanamke kiazi kweli kweli
Tena kiazi cherema
Yaani kirahisi rahisi tu aniletee watoto na hawara yake???? Tena uwalishe wakishakula na kuny.a na kujaza choo chako walete upumbavu
Watoto angepeleka walipopeana mimba
Na huyo mwanamke angeenda kuwalea huko walipopeana mimba
Mfyuuuuuu zake huyo mwanake asiyejielewa
Hata kama uzi ni wa 2008
anyway chai hii tamu