weka wazi bana pls wengine washakutana na mashoga wanaomba kuolewa humu sasa atupendi haya maombo kuendelea mbaya wamekuwa wakichat mpaka wanapeana adress kukutana pale mliman city wanakuta mlegezo full sasa hayo mambo si mbaya kuavoid kuweka jinsia ..nina jirani yangu mwanamke yuko hapa mbezi ameoa mwanamke mwenzake ..sasaaa wasijejiorodhesha mwisho wa shuguli lohnipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa. Karibu!.
hiyo nyekundu std 7 inaingia??Nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa. Karibu!.
Una miaka ngapi hivi Klorokwini? acha vijana wajaribu bahati yao.:wink2:Hili linaweza likawa zali langu acha nizame pm
Cheti kinachakachulika RR, unaangalia soccer? kuna jamaa anaitwa Kanu birth setifiket inasema jamaa yupo under 30 lakini uso wake unaonesha ana umri kama wa Slaa.Una miaka ngapi hivi Klorokwini? acha vijana wajaribu bahati yao.:wink2:
Slaa ni kijana sana, ni uboho wake tu ndio unamfanya kuonekana mzee. Kweli wengi wanasema age sio kitu but mtoa mada has made a restriction hapo, so you have to comply.Cheti kinachakachulika RR, unaangalia soccer? kuna jamaa anaitwa Kanu birth setifiket inasema jamaa yupo under 30 lakini uso wake unaonesha ana umri kama wa Slaa.
Nyinyi kule MMU si mlisema age ain't nothing but a number?
Sasa nikichakachua cheti kweli atastuka? manake mimi uboho (dah kiswahili kigumu aisee) wangu ukiniona utazani teenager.Slaa ni kijana sana, ni uboho wake tu ndio unamfanya kuonekana mzee. Kweli wengi wanasema age sio kitu but mtoa mada has made a restriction hapo, so you have to comply.
Hahahaha, you are crazy!Sasa nikichakachua cheti kweli atastuka? manake mimi uboho (dah kiswahili kigumu aisee) wangu ukiniona utazani teenager.
Dada kamaanisha. Ila naona hajasema vizuri yeye anapenda nini, what type of girl she is etc.Hee! Umejilipua na namba ya simu kabisa. Haya, kila la heri.
Dada kamaanisha. Ila naona hajasema vizuri yeye anapenda nini, what type of girl she is etc.
dada husninyo namaanisha ndo maana nimeweka na namba ila naomba pls kwa alie serious coz cpendi kusumbuliwa..
:A S 13::A S 13::A S 13: khaaa!haya mpenzi, kuwa tu makini. Hata humu kuna heartbreakers. Mi kuna mmoja alishabreak moyo wangu ila ilichukua siku moja tu kuheal.
Slaa ni kijana sana, ni uboho wake tu ndio unamfanya kuonekana mzee. Kweli wengi wanasema age sio kitu but mtoa mada has made a restriction hapo, so you have to comply.