Mume Anahitajika

umeanza majungu lawyer tena mbele ya mchuchu mpya. Proposal litakataliwa.

Ila na wewe ni kigeugeu. In the other thread of afrodisiacs unataka kumpitia mwende wapi sijui... focus, concentrate hapa hapa.

Dah! kweli acha nikuwe mnyenyekevu, halaf nazani mngemwambia Tiamaji kwamba mimi sjawahi kupigwa ban wala kutembelea jukwaa la wakubwa, nimetatua matatizo mengi ya ndoa jukwaa la MMU na pia ni hazbend material, niko tayari kufa njaa lakini waifu apate hela za make up za Taiwan.
 
Umetatua matatizo mengi ya ndoa MMU? Ndoa zako ama za wengine? Unaharibu sasa! Mi nakushauri uje na ID mupya uta-score hapa!
Tetesi ni kuwa inbox ya TiaMaji imejam kwa wingi wa pm...
Dah! kweli acha nikuwe mnyenyekevu, halaf nazani mngemwambia Tiamaji kwamba mimi sjawahi kupigwa ban wala kutembelea jukwaa la wakubwa, nimetatua matatizo mengi ya ndoa jukwaa la MMU na pia ni hazbend material, niko tayari kufa njaa lakini waifu apate hela za make up za Taiwan.
 
Nataka kurepoti abyuzi.

Kloro, husyn na RR, mnastahili bansen banner kwenye sredi hii.
 
Hahaa we ni wa kiume bana acha kuzingua member. We ni wa humu ila umekuja na I'd nyingne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom