Mume anahitaji!

Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
Kosa kubwa kutaja bikra ndipo ulipokosea hapo
 
Hapo hakuna bikra.
Nakumbuka kuna msichana wa kampala alinidanganya kuwa ni bikra.

Nikawa nampeti sanaa. Kama yani. Nikataka kabisa kutamganza ndoa na sikua na haraka ya kumgegeda . Akawa anakuja geto anakaa namrudisha kwao hajawahi kulala geto.
Siku moja akana akakuta beer kwenye friji akaanza kunywa.
Nikamuongeza nyege zikampanda akaanza kunirukia rukia.

Nikampelekea moto.

Mmmaaaaa. Kumbe mwenzangu hakunaamisha bikra ninayoijua mimi.
Tangia siku hio nikaka dump.
Ila nilimuelewesha kwa hio sikumuumiza.

Nilianza kupunguza attention.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom