Hiyo ndoa itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya ila kama wote ni wacha mungu nakumbuka siku ya kufurahisha wapambe na marafiki mliongoe kuwa Utamuacha baba na mama yako na wote mtakuwa mwili mmoja au wewe uliolewaje mwenzangu hukusema hayo?au ulikuwa unafurahisha nafsi yako na hayakutoka moyoni mwako?na kumbuka maandiko yanasema enyi wanawake watiiini waume zenu na enyi wanaume wapendeni wake zenu sasa wewe kama mkristu na unayehudhuria kanisani kila jumapili unalijua hilo au unasoma biblia au kitabu cha maandiko tatakifu kama novel?
Nisaidie inawezekana sijaelemika kwenye masuala mazima ya kujenga familia iliyo bora na yenye furaha na upendo wa dhati labda napapasa tu nisamehe sijenda shule sanaa nimesoma sunday school mno na madras
Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!
Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.
haa sana tu .Good comment!nadhani hapa Rose ulikuwa tayari umeshiba chai na viazi vyako vitamu vya kukaanga!
That explains everything... Mwanaume anajisikia inferior... na hilo tatizo ni kubwa sana, sijui atasaidiwaje... ila kwa ufupi ni kwamba, dada aache kazi arudi TZ akae na mume wake...
kkkhaka kaka mwita..khaaaa unakatamani??ROSE 1980 hako kdemu kanakokonyeza kananitia wazimu bwana aidha kondoe au ukanipe
Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!
Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.
akili unazo! hivi huyu mama akiacha kazi arudi kuangaliana na mumewe alafu ndio maisha yaweje? alafu shida ya mume ni kutojiamini tu pesa anaitaka mke anamtaka!
Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!
Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.
haa sana tu .
nasasa nataka kwenda kupika mlenda bamia na kaugali kdg ahhh
karibu!!
Very good.....signs za kuachana na infidelity!!
Very good.....signs za kuachana na infidelity!!
Mi huwa nainfidelitaizi na mke wangu! Hivi na wewe umetokea wapi na joto lote hili?
Askofu thus the point kny red,mwanaume kuwa inferior ni tatizo sana na lazma mwanamke apate shida kama anayoipata huyu dada wa watu, na huwa mara nyingi wanaume wa namna hii siyo understanding hata kidogo, Otherwise huyu dada arudi tu akalinde ndoa yake maana huyo ndo mumewe.
Umeona eeh:A S thumbs_up:
Yeah....slowly woote watahamia chama chetu!!
Well said kijana...Utanidai Al-Batar mmoja jike pale osheniki.... Halafu tukipiga infidelity wanapiga kelele.Naona wengi wanachangia wakiwa na emotions, jamani tatizo hapa sio mwanamke kuacha kazi kwani tulizaliwa tunafanya kazi? Tatizo hapa ni kulinda ndoa yake isikumbwe na INFIDELITY ni bora arudi aokoe ndoa yake KAZI NA MUME kipi bora at this stage? Tusichukulie kazi yake kama kigezo halafu tukaanza kulalamika kuwa mwanaume ana wivu YES ana wivu sababu ni mkewe hata ingekuwa ni mimi i would be the same.