Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Hili ndo kubwa
Apime uzito tu kama kwao hakuna wa kumtegemea na yeye hana shida aache kazi tu arudi kumburudisha Mr.
Hili ndo kubwa
Hiyo ndoa itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya ila kama wote ni wacha mungu nakumbuka siku ya kufurahisha wapambe na marafiki mliongoe kuwa Utamuacha baba na mama yako na wote mtakuwa mwili mmoja au wewe uliolewaje mwenzangu hukusema hayo?au ulikuwa unafurahisha nafsi yako na hayakutoka moyoni mwako?na kumbuka maandiko yanasema enyi wanawake watiiini waume zenu na enyi wanaume wapendeni wake zenu sasa wewe kama mkristu na unayehudhuria kanisani kila jumapili unalijua hilo au unasoma biblia au kitabu cha maandiko tatakifu kama novel?
Nisaidie inawezekana sijaelemika kwenye masuala mazima ya kujenga familia iliyo bora na yenye furaha na upendo wa dhati labda napapasa tu nisamehe sijenda shule sanaa nimesoma sunday school mno na madras
Apime uzito tu kama kwao hakuna wa kumtegemea na yeye hana shida aache kazi tu arudi kumburudisha Mr.
kweli nyamayao, huyu dada anatakiwa awe mgumu aweze kufanya maamuzi ya busara. nafikiri hawa ndio wale wa kuishia ICU cku akijua hayuko mwenyewe kuna mawife wengine!
Huo utakuwa ujinga.....anaweza kuacha kazi akarudi kumburudisha mumewe, lakini ana uhakika gani kama mume wake hataendeleza tabia zake za wivu. Mwisho anaweza kuambiwa aache kazi akae tu nyumbani.Apime uzito tu kama kwao hakuna wa kumtegemea na yeye hana shida aache kazi tu arudi kumburudisha Mr.
Mimi nadhani hana haja ya kuacha kazi na kuja kurudi bongo kwa ajili ya huyo mwanaume! Inaonekana jamaa hajiamini kwa sababu kipato chake ni kidogo au hamuamini mkewe kwa sababu tabia anazofanya yeye anadhani mkewe naye huko aliko anafanya hivyo.
nadhani wengi wetu tunawapenda sana waume zetu, kama mie nampenda sana tena sana mr wangu...lakini kwenye upuuzi mapenzi pembeni.
Jamani kuna mtu amenionea mwalimu wangu Gaijin? Mkimwona mwambieni kuna mtu amechakachua akili ya mwanafunzi wake....... Nna mpango wa kuacha shule.
Afu hapa mnadiskasi nini vile? Mume ana wivu? Ebo, sasa mlitaka asiwe na wivu? Bila wivu atajuaje kama anampenda?
Narudi darasani.
halafu katavi...huyu mwanaume angekuwa muelewa, hiyo pesa mama anayomtumia wangepanga wafanye mume aendelee kufanya maendelea hapo bongo, waongeze hiki na kile, wawekeze hapa na pale...sio kulia lia wivu wakati bado unahudumiwa tu....
Nyamayao in ACTION!
Hebu punguza ukali wa Maneno Nyamayao... Muhimu hakuna kurudi, na hakuna kumsikiliza.. Mwambie huyo Dada atafute maisha.. Wivu huwa haujengi ila unabomoa..
Kuwa na wivu ni sawa lakini sio kiwango cha huyu jamaa!Hivi mwanaume harusiwi kuwa na wivu au si kawaida mwanaume kuwa na wivu?
Wanawake bana...
Tusipowalilia wivu wanatuona tunacheat...infidelity
Tukiwalilia wivu tunaonekana wabaya
Sijui tufanye nini yailahi toba?
Wanawake bana...
Tusipowalilia wivu wanatuona tunacheat...infidelity
Tukiwalilia wivu tunaonekana wabaya
Sijui tufanye nini yailahi toba?
Mom hujambo? Nimekumiss kweli. Ngoja niongee na invizibo arudishe chat room. Kama hataki tuhamishie kambi fesibuku...:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
unajua hakuna asie na wivu kwa ampendae?...lakini ucvuke mpaka bwana.