Mulungushi Club ni Club ya marais walio mstari wa mbele (Front line States (FLS)), kukomba nchi zilizo kusini mwa bara la Afrika. FLS baadae baada ya kufanikiwa lengo lake 1980 ikawa SADCC , ilipoaanza sera ya maendeleo ya jamii za kusini mwa Afrika ikaitwa SADC. Mnukuu
Ni Kenneth Kaunda. Enzi zao, Marais Dr Milton Obote, Dr Julius Nyerere , Dr Kenneth Kaunda na Dr Kamuzu Banda waliunda Club yao maarufu kama The Mulungushi Club. Ni Club ya Marais Madokta! Hiyo ilikuwa Club ya watu simpo. Rais anaweza kwenda zake Club bila hata mkewe kujua. Maana, anaweza kwenda Club huku akiwa ametinga malapa miguuni. Na jamaa wakishapata glasi mbili tatu za mvinyo stori ndio zinapamba moto...Sasa ni wapi Marais mnakutana kuzungumzia na kutaniana juu ya ugumu wa kuwaongoza watu wenu. Na wapi mnakutana mkiwa na hamu ya kumpiga vijembe Rais wa Taifa kubwa la Marekani? Je, unajua nini zaido kilikuwa kinaongelewa kwenye Club hiyo?
Mimi hilo jia Mulungushi linanikumbusha Captain wa kwanza mweusi wa meli East Afrika na hiyo meli ilipewa jina MV Mulungushi na Captain wa kwanza mweusi ambae yupo hadi leo hii anaitwa Capt. Musa Ithiso
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.