Mulugo: Tumekamata vijana walio taka kuharibu mfumo wa BVR wakijifanya maafisa wa NEC

Kuna mambo mengine kwa Waziri kuyaelezea mbele ya kadamnasi yanaonesha wazi namna kulivyo na upumbavu...

Watu wa kwanza kuwajibishwa hapo ni hao wahusika wa NEC...

Ina maana hawana karakana ya kutengeneza vifaa vyao vilivyo na mushkeli?

Bila shaka hao vishoka wametumia utaratibu mbovu wautumiao NEC katika kutatua matatizo ya kiufundi...
 
Naona umeamua kujiandikia ili ujiridhishe mwenyewe watu wametiwa mbaroni afu wewe unasema wa kuwajibika ni Nec nahisi wewe utakua sehemu ya tatizo inakuaje unawapa nafasi watuhumiwa na kuanza kuilaumu Nec, kumbuka Nec sio Mungu,mashine hizo Ziko vijijini zinafanya kazi ni rahisi kwa watu kuja na kudanganya wakiwa na vitambulisho feki au hilo hulijui, ni mara ngapi watu wamekamatwa wakijiandikisha zaidi yamara moja spirit hiyo bado ipo kwa hao hao wanaojifanya mafundi, Naipongeza Nec kwa kuwadhibiti naamini ukweliutajulikana tu!
 
Back
Top Bottom