Namba za vitambulisho vya kupigia kura zinatafutwa sana

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
371
Ktk siku mbili tatu hizi kumekuwa na lawama kwa wananchi kuwa kuna watu wanaojifanya wao ni wajumbe wa nyumba kumi wanapita ktk nyumba na kutaka kurecord namba za vitambulisho vya kupigia kura sasa wanasema taarifa zinatakiwa makao makuu ili kujua idadi ya walio jiandikisha .

AMKENI VIONGOZI UKAWA na kukemea tabia hii haraka sana sanjari na kutoa elimu ya uraia na kuhamasisaha watu kupiga kura .ili kuwe na amani Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa.

Habari wakuu, kwenye kitambulisho chako cha kura upande wa kulia kuna kitu kinaitwa
QR code
na barcode chini yake ambazo zina unique signature itakayotumika kukutambua wakati wa kupiga kura.

Inasemekana kuna watu wanakopi hizo na ku duplicate kadi, kwa dhumuni la kupiga kura kupitia kitambulisho chako. kwa habari nilizozipata ameshakamatwa mtu anavyo zaidi ya 30 (duplicates)
voter.jpg

Tuwe makini. Kwa wale tunaopenda kuzipost kwenye mitandao ya kijamii

QR CODE
img.php
BARCODE
barcode_sticker.jpg

Wakuu je kwa mtindo huu ni rahisi taarifa zako kudukuliwa na kutambulika na wazee wa suti..?

9RVR4QG.png

Bank ya KCBL-Moshi inakusanja namba za Kadi za Kupigia Kura

Bank ya KCBL Moshi imewataka watu wote wanaohitaji mkopo kupitia VICOBA (wanasema wana fungu kubwa kutoka NSSF) kuwasilisha namba zao za vitambulisho vya kupigia kura pamoja na documents nyingine ikiwa ni kama requirement ili uweze kupatiwa mkopo.

Nafikiri namba hizi zinaweza kutumika kwa lengo lingine na watu ni wengi sana wanaohitaji mkopo huo.

Jambo hili lifuatiliwe
.

Jamani kumekua na Muendelezo huu wa usiofahamika wa watu kupita kwenye majumba na kuuliza kama mmejiandikisha na mnapokubali tu wao huwaomba na kunakili namba za vitambulisho.Utakapowauliza kuna nini utaambiwa ni maagizo kutoka juu.

Haya mpaka sasa yanaendelea katika mitaaa mingi ya nchi hii,sasa niombe muwape taarifa ndugu zenu,wafanyakazi wa ndani,na wale wote wasiojielewa kuwa kitambulisho ni chako mwenyewe na hakuna Taasisi yote iliyo agiza hizo namba za vitambulisho.

Kama utaona unasumbuliwa toa taarifa polisi,kwani mchezo huo unaofanyika utaliingiza TAifa hili kwenye machafuko kwa uroho wa watu wachache.

Ni matumaini yangu kuwa mpo wengi humu mliokutana na adha hii,wekeni ushahidi kabisa hata kwa kuwataja majina.

Angalizo

Kataeni hicho kitendo kwa sauti ya umoja na uzalendo uliotukuka.
Pinga kuchukuliwa kitambulisho chako,hakuna sensa ya vitambulisho inayofanyika.

Sambaza huu ujumbe nchi nzima na Kwenye magrupu mengine

Habari wakuu, kwenye kitambulisho chako cha kura upande wa kulia kuna QR code na barcode chini yako ambazo zina unique signature itakayotumika kukutambua wakati wa kupiga kura.

Inasemekana kuna watu wanakopi hizo na ku duplicate cadi, kwa habari nilizozipata ameshakamatwa mtu anavyo 30.

Usikubali kumpa mtu kitambulisho chako kamwe.

Usipige ID yako picha na kuipost kwenye mitandao ya kijamii Qr code na bar code ikaonekana.

CHADEMA kukusanya kadi za kupigia kura ni sahihi? Tume ya uchaguzi na Serikali tunaomba ufafanuzi

Habari za jumatano wapendwa.

Kuna jambo moja limenishtua sana kuelekea uchaguzi mkuu wa Madiwani, Ubunge na Urais hapo mwezi Oktoba mwaka huu. Naishi maeneo ya TEMEKE MIKOROSHINI, huku kuna watu wanapita katika maeneo mbalimbali wakijitambulisha kuwa ni Makamanda wa ukombozi kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na kuwashawishi watu waliojiandikisha kupiga kura wawape shahada zao za kupigia kura na kwamba ambapo huwataka wawape namba za simu ili kwamba watakapokuwa tayari kuwarudishia waweze kuwasiliana nao.

Maeneo wanayopita ni pamoja na kwenye majumba ya watu, kwa mtu mmoja mmoja, kwenye vituo vya bodaboda, kwenye vikundi vya Mchakamchaka(JOGGING GROUPS), na kwenye vikundi vya vijana vilivyoanzishwa kwa malengo mbalimbali kama vile ujasiriamali, ulinzi, elimu juu maswala mbalimbali kama jinsi ya kujiepusha na maambukizi ya Ukimwi katika maeneo yao na namna ya kuwapata viongozi bora wakati wa uchaguzi mkuu, vikundi ambavyo vingi vimeanzishwa huku mitaani kwa jina TUMAINI JIPYA.

Ingawa Watu hawa hawasemi nini hasa lengo la kukusanya shahada hizo za kupigia kura, wanasema vijana wa CHADEMA wanafanya zoezi hilo katika jijini lote la Dar es Salaam kulinagana na maeneo wanapoishi. Tukio kama hilo pia limeonekana likifanyika katika maeneo ya Ubungo Msewe, Tabata na maeneo ya Kigamboni.

Taarifa hii ya ukusanyaji wa shahada za kupigia kura pasi kujua malengo yake limekuja siku chache baada ya zoezi la kuboresha Daftari la Mpiga kura kwa njia ya BVR kuanza katika jiji la Dar es Salaam.

Mytake: ninachojua mimi ni kwamba, shahada ya kupigia kura ni mali ya mwenye nayo aliyejiandikisha na ni kosa mtu mwingine kuitumia kwa zoezi lolote lile ikiwa ni pamoja na kupiga kura. Binafsi niliwakatalia hawa vijana baada ya kutokuwa na sababu za msingi za kwanini wanaendesha zoezi hilo kwamba wana lengo la kutaka kujua idadi ya watu waliojiandikisha katika maeneo yao.

Ipo minong'ono kuwa sababu ya kuchukua shahada na namba za simu za mhusika ni ili baadaye waweze kumshawishi kupigia kura chama chao na kwamba kwa wale watakaoonekana kukaidi basi shahada zao hazitarudishwa na na wale ambao watakubali shahada zao zitatunzwa na hao wanaozikusanya hadi siku ya kupiga kura ambapo wenye nazo watagawiwa katika vituo vya kupigia kura, jambo ambalo binafsi naona kama haki ya mpiga kura inabakwa mchana kweupe.

Rai yangu: SERIKALI NA TUME YA UCHAGUZI ITUFAFANULIE JAMBO HILI SABABU SASA HUKU MITAANI WATU WAMECHANGANYIKIWA.

NEC: Ficheni taarifa za kadi zenu

Siku moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kukamilisha zoezi la uandikishaji wa wapigakura kwa mfumo wa BVR, imesema mtu yeyote haruhusiwi kutoa kadi yake ya wapigakura au taarifa za kadi hiyo kwa ndugu,jamaa au mwajiri wake.

Mkurugenzi wa NEC, Kailima Kombwey alisema jana kuwa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, hairuhswi na haitakiwi kwa mtu yeyote asiyehusika na kadiya mpigakura kuimiliki kadi hiyo.

Chanzo: Mwananchi ukurasa wa 6

Waajiriwa kuombwa namba na waajiri

Kadi ya mpiga kura, ni maalumu kwaajili ya kupigia kura tu.

Je, waajiriwa serikalini walio lazimishwa na waajiri wao wapeleke namba za vitambulisho vyao vya kupigia kura ni kwa maslahi ya nani?

No reseach, no data, no right to speak.
 
Wanajamvi,

Nimerudi tena kuwapasha kwa habari ya audio inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kwa sasa inayohamasisha watu kujiandikisha na kuzuia goli la mkono. Kiukweli kauli hii itawatesa CCM sana na hata kujutia kwanini ilitolewa na kiongozi huyu wa CCM.

Ninayo audio clip inayosambaa lakini nashindwa ku attach humu. Wakuu nadhani itawafikia kupitia whatsapp groups au ni PM nikutumie....

Nitumie 0784365662
 
Jamani kumekua na Muendelezo huu wa usiofahamika wa watu kupita kwenye majumba na kuuliza kama mmejiandikisha na mnapokubali tu wao huwaomba na kunakili namba za vitambulisho.Utakapowauliza kuna nini utaambiwa ni maagizo kutoka juu.

Haya mpaka sasa yanaendelea katika mitaaa mingi ya nchi hii,sasa niombe muwape taarifa ndugu zenu,wafanyakazi wa ndani,na wale wote wasiojielewa kuwa kitambulisho ni chako mwenyewe na hakuna Taasisi yote iliyo agiza hizo namba za vitambulisho.

Kama utaona unasumbuliwa toa taarifa polisi,kwani mchezo huo unaofanyika utaliingiza TAifa hili kwenye machafuko kwa uroho wa watu wachache.

Ni matumaini yangu kuwa mpo wengi humu mliokutana na adha hii,wekeni ushahidi kabisa hata kwa kuwataja majina.

Angalizo

Kataeni hicho kitendo kwa sauti ya umoja na uzalendo uliotukuka.
Pinga kuchukuliwa kitambulisho chako,hakuna sensa ya vitambulisho inayofanyika.

Sambaza huu ujumbe nchi nzima na Kwenye magrupu mengine
 
Wajichanganye waje kwangu ...
hakika watakuja kukusimulia nitacho
wafanya...tumechoka na huu ulaghai wa "pipi kijiti"
kila ufikapo uchaguzi mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Redbrigad Fanyeni Kazi Hiyo Akipatikana Mtu Anazunguka Kuchukua Namba Adhabu Yake Mnailewa Haina Haja Ya Kuwaambia Kauli Mbiu Yetu Wakinini! Tunawanini!
 
Bank ya KCBL Moshi inasema inatoa mikopo (Fedha za NSSF) kwa Vicoba.....na kila mwanakicoba anatakiwa kutuma namba yake ya Mpiga kura kwao....hata mimi nimetuma....kuna mtu anaweza kufuatilia wanazifanyia nini?
 
Update 13:16
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Jamani kumekua na Muendelezo huu wa usiofahamika wa watu kupita kwenye majumba na kuuliza kama mmejiandikisha na mnapokubali tu wao huwaomba na kunakili namba za vitambulisho.Utakapowauliza kuna nini utaambiwa ni maagizo kutoka juu.

Haya mpaka sasa yanaendelea katika mitaaa mingi ya nchi hii,sasa niombe muwape taarifa ndugu zenu,wafanyakazi wa ndani,na wale wote wasiojielewa kuwa kitambulisho ni chako mwenyewe na hakuna Taasisi yote iliyo agiza hizo namba za vitambulisho.

Kama utaona unasumbuliwa toa taarifa polisi,kwani mchezo huo unaofanyika utaliingiza TAifa hili kwenye machafuko kwa uroho wa watu wachache.

Ni matumaini yangu kuwa mpo wengi humu mliokutana na adha hii,wekeni ushahidi kabisa hata kwa kuwataja majina.

Angalizo

Kataeni hicho kitendo kwa sauti ya umoja na uzalendo uliotukuka.
Pinga kuchukuliwa kitambulisho chako,hakuna sensa ya vitambulisho inayofanyika.

Sambaza huu ujumbe nchi nzima na Kwenye magrupu mengine
 
Jamani kumekua na Muendelezo huu wa usiofahamika wa watu kupita kwenye majumba na kuuliza kama mmejiandikisha na mnapokubali tu wao huwaomba na kunakili namba za vitambulisho.Utakapowauliza kuna nini utaambiwa ni maagizo kutoka juu.

Haya mpaka sasa yanaendelea katika mitaaa mingi ya nchi hii,sasa niombe muwape taarifa ndugu zenu,wafanyakazi wa ndani,na wale wote wasiojielewa kuwa kitambulisho ni chako mwenyewe na hakuna Taasisi yote iliyo agiza hizo namba za vitambulisho.

Kama utaona unasumbuliwa toa taarifa polisi,kwani mchezo huo unaofanyika utaliingiza TAifa hili kwenye machafuko kwa uroho wa watu wachache.

Ni matumaini yangu kuwa mpo wengi humu mliokutana na adha hii,wekeni ushahidi kabisa hata kwa kuwataja majina.

Angalizo

Kataeni hicho kitendo kwa sauti ya umoja na uzalendo uliotukuka.
Pinga kuchukuliwa kitambulisho chako,hakuna sensa ya vitambulisho inayofanyika.

Sambaza huu ujumbe nchi nzima na Kwenye magrupu mengine

Jamani mbadilike na tusipende kusena maneno ya uzushi tu. Hakuna kitu kama hicho
 
Jamani mbadilike na tusipende kusena maneno ya uzushi tu. Hakuna kitu kama hicho

Anachosema kipo na jana Lubuva ameonya.Tunachotakiwa kufanya ni kuwaelimisha wale wasiojua haki zao za msingi.
 
Watanzania bado hawajitambui, inawezekana vipi aje mtu ambaye humjui ummpe personal details zako? Kesho ukiambiwa unadaiwa na bank utakataa? hivi kweli mna akili watanzania. hao watu wakija wanatakiwa wapigwe. wanatufanya sisi watanzania hatuna akili kabisa.
 
Kama kuna MTU anataka kucharangwa mapanga aje aniulizie huo upumbavu
 
Bank ya KCBL Moshi imewataka watu wote wanaohitaji mkopo kupitia VICOBA (wanasema wana fungu kubwa kutoka NSSF) kuwasilisha namba zao za vitambulisho vya kupigia kura pamoja na documents nyingine ikiwa ni kama requirement ili uweze kupatiwa mkopo.

Nafikiri namba hizi zinaweza kutumika kwa lengo lingine na watu ni wengi sana wanaohitaji mkopo huo.

Jambo hili lifuatiliwe
.
 
Wakuu kumbukeni zile kadi zina barcode kwahyo ni rahisi kuverify Kama number ya mpiga kura ishapiga au lah,Ile barcode ina informations zote ikiwemo number ya mpiga kura,ni rahisi sana kuwekwa system ya kudetect number ya mpiga kura Kama kashapiga au bado kitendo cha ccm kukusanya hizi number hakina nia njema kabisa.

Waza tu kidogo...kuwa,kwani data zetu nani anazo kama sio wao serikali??? So naamini kama wakiamua kufanya huo uhuni haina haja ya kutufuata sisi..tayar wanazo so bado siamini hili bandiko lenu.
 
Ni wakati sasa intelijensia ya ukawa iamke na kuwa makini na hao vidudu mtu WA ccm(shetani na mawakala wake).
 
Back
Top Bottom