Mulugo na professa wa chemistry!!

Mulugo na professa wa chemistry!!

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
CHEMISTRY CLASS
Professor: Chemical symbol of
Barium?
mulugo: BA
Professor: For sodium?
Mulugo: NA
Professor: What will we get if 1
atom of BA & 2 atoms of NA are
combined?
Mulugo: BANANA!
 
Hao wote vilaza,rxn ya Ba na Na unapata compound gani?
 
Hamna reaction ya hivo bhana hata kama ni utani
 
Mulugo alitakiwa kujibu kuwa hamna reaction sasa sijui mnakosoa nini Prof. Otherwise nimecheka sana!
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari, ona km hii....
1.Daktari anakuombea uumwe.
2. Wakili anakuombea upate kesi.
3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe.
4.Polisi anakuombea uwe mhalifu.

cha ajabu na kushangaza Mwizi peke yake ndo anakuombea ufanikiwe......!!!!
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari, ona km hii....
1.Daktari anakuombea uumwe.
2. Wakili anakuombea upate kesi.
3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe.
4.Polisi anakuombea uwe mhalifu.

cha ajabu na kushangaza Mwizi peke yake ndo anakuombea ufanikiwe......!!!!

Hii nayo kali.
 
Back
Top Bottom