Mulugo apuuza kelele za Chadema!

Mulugo apuuza kelele za Chadema!

Labda kichwa cha dushelele!
mimi huyo dushelele simjui ila Mulugo ni mfano wa kuigwa,
nahisi jamaa hajawahi kukosa hata swali moja kwenye mitihani wakati anasoma.
 
Waziri wa Elimu na Ufundi mh,Mulugo,amesema kwamba hatishiki na Maneno ya Mwenyekiti wa Taifa CDM, Mh Mbowe ya Kumtaka ajiuzulu kwa kile kinachodaiwa kwamba ni Kuwajibika kwa ajili ya Matokeo mabaya ya Mtihani wa Kidato cha Nne!!

Aliendelea kusema kwamba hashangai kwani anachofanya Mbowe ni Kujitafutia Umaarufu na kujitafutia Wapiga Kura!

Source: Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti!

Nadhani naye amejitafutia umaarufu kwa kufelisha watoto wetu ili atangazwe na kutajwa sana. Ila sishangai kwani serikali ya MAGAMBA VIONGOZI WOTE NI KAMBALE (wana ndevu). Mkubwa hajulikani.
 
Safi mulugo wameona rangi zotee

Kwakweli tumeona kila rangi..............60% "0" yani kati ya watoto kumi, sita ni failure..................mi naona rangi nyekundu "ndu" hatari taifa laangamia.
 
Waziri wa Elimu na Ufundi mh,Mulugo,amesema kwamba hatishiki na Maneno ya Mwenyekiti wa Taifa CDM, Mh Mbowe ya Kumtaka ajiuzulu kwa kile kinachodaiwa kwamba ni Kuwajibika kwa ajili ya Matokeo mabaya ya Mtihani wa Kidato cha Nne!!

Aliendelea kusema kwamba hashangai kwani anachofanya Mbowe ni Kujitafutia Umaarufu na kujitafutia Wapiga Kura!

Source: Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti!

Mkuu hapo kwenye red sijakusoma; Nijuavyo mimi waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi ni Dr. Shukuru Kawa-Umbwa na Muishiwa Mulugo ni naibu wake.
 
Back
Top Bottom